Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nampongeza sana rais wetu kwa kufanya ziara njema kwa nchi yetu. Press hii imwtufungua mengi ambayo naamini ni chanya kwa nchi yetu.UTIAJI SAINI HATI ZA MAKUBALIANO 15
Jambo lingine kubwa ni utiaji saini Hati za Makubaliano mbalimbali, mikataba. itifaki pia. Jumla zilitiwa saini Hati za Makubaliano 15:
However, hapo kwenye mikataba 15 inayoitwa HATI ZA MAKUBALIANO 15 ni busara sana kutueleza bayana ni zipi na kwa kipindi gani.
bado swali langu kule kwenye thread ya kuwa Hii nchi inamilikiwa na nani haswa lipo valid