Relax yukopale HATAKAMA n kwa MDA tu lakini AWEKE SAWA ofisii usihofuSidhani kama simbachawene atakuwa Na jipya...
Hahaha, kwa heshima na taadhima Mkuu nakuomba upandishe huo uzi aisee.pia aliwahi kufyekwa mkono baada ya kufumaniwa , uzi umo humu jf
nimeusaka sana sijauona , juhudi zinaendeleaHahaha, kwa heshima na taadhima Mkuu nakuomba upandishe huo uzi aisee.
Achana naye Mkuu unaumiza kichwa bure
Kesi walomfungulia ndo ilovuruga ndoto ...... mambo ya Mungu na kesi ni wapi na wapiHuyo Lema ndio alioteshwa na Mungu kuwa Magu hafiki 2020[emoji848][emoji848]
Awamu ya kishamba mnooooo!!!!!Ila awamu hii imetia fora kwa matangazo ya live. Mweh. Sasa hapa nilitaka niende Pugu. Ila itanibidi nibaki kwangu mbagala kusubiria live.