Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Habari kubwa leo ni kutokana na alichokifanya Rais Magufuli kumtumbua Waziri Kangi Lugola.

Pia ameteuwa nafasi zingine zilizoachwa na wengine waliojiudhuli katika Jeshi la Zima Moto na kuwaongeza miaka mingine ya utendaji kwa mabalozi ambao muda wao umeisha.

Mabalozi hao ni pamoja na balozi Asha Migiro wa Uingereza, wa Italia, Israel et.

Je swali kwamba nae Simbachawene atafanya vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*KANGI LUGOLA DAY*
HII SIKU TUADHIMISHE KILA MWAKA ITAPENDEZA SANA
DAH
TRILLION..... CHIBOKOO
 
Sidhani kama simbachawene atakuwa Na jipya...
Relax yukopale HATAKAMA n kwa MDA tu lakini AWEKE SAWA ofisii usihofu
Chawene AJUI kupindaa.,siumesikia takukuru washakabidhiwa mzigooo lazima awepo MTU WA kutoa ushirikiano ounde usishangae tukapata lift KWENYE kale kAGARI chetu PENDWA cha kijani
 
Pongera Watenguliwa, Hongera Wateule fanyeni kwa Kazi kwa Ufasaha
 
Back
Top Bottom