Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Maswali.mengine bhana, mpaka mtu unajiuliza haivi anaeuliza swali anakuwa amelewa au. Sasa ndio ulikuwa unataka dar asije kabisa wala asilale hata siku moja ikulu ya dar. Dah tuna safari ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe amelala Dar siku moja tu. Kama ni hivyo haina shida mkuu tuendelea kuombeana uzima ili tuone mengi zaidi.
 
CV itakusaidia nini wewe mwache mtu achape kazi
Jaman nadhani wakati umefikia kujua CV ya Zungu
Mkuu alimnukuu mida fulani pale kwenye ufunguzi wa Majengo.
Lakini pia kwenye tume ya makinikia Zungu alionekana kama Mhusika bapa maana nakumbuka kama ndie aliesoma ile riport fulani
Mwenye CV yake tafadhari
 
Finally Bwana Zungu Ateuliwa Kuwa Waziri Leo hii

Rais Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akichukua nafasi ya Simbachawene.View attachment 1332056

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Zungu wa Mtaa wa Aggrey na Likoma, chumba kimoja ghorofa ya juuu kabisa, karibu na mkombozi benki, mnywa pombe kali, leo ni waziri. Ok
 
Huyu mtu umaaarufu umeshuka, kuna wakati anahisi watu hawana habari nae. akiona hivyo analeta drama za kutumbua na kutungua.
 
Back
Top Bottom