Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe amelala Dar siku moja tu. Kama ni hivyo haina shida mkuu tuendelea kuombeana uzima ili tuone mengi zaidi.Maswali.mengine bhana, mpaka mtu unajiuliza haivi anaeuliza swali anakuwa amelewa au. Sasa ndio ulikuwa unataka dar asije kabisa wala asilale hata siku moja ikulu ya dar. Dah tuna safari ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
pia aliwahi kufyekwa mkono baada ya kufumaniwa , uzi umo humu jfBora kangi lugola kulikoni huyu simbachawene,huyu anakashfa ya kumsumbua kangi lugola awasaidie wakenya waliojichukulia uraia kinyamela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maweeee for the first time kaulamba uwaziri.Tanzania kila kitu kinawezekana.Hivi Zungu kasoma chuo gani vile?Maana hii wizara ya mazingira ina changamoto pia.
Huyo Lema ndio alioteshwa na Mungu kuwa Magu hafiki 2020[emoji848][emoji848]
Kama cdm wasivyokuwa na mtu wa kushika uenyekiti tafauti na sultani Mboweccm watu wameisha
Hivi Mh. Rais aliposema amehamia Ikulu ya Dodoma alikuwa anamaanisha Ikulu ya Dodoma iliyoko Magogoni Dar es Salaam au?
Sasa angalia Lugola alivyochemsha kisa hakufuata hatua za mikataba.Kisomo cha kazi gani hii nchi ukiwa unaweza kuweka signature inatosha kabisakuwa hata rais
Jaman nadhani wakati umefikia kujua CV ya Zungu
Mkuu alimnukuu mida fulani pale kwenye ufunguzi wa Majengo.
Lakini pia kwenye tume ya makinikia Zungu alionekana kama Mhusika bapa maana nakumbuka kama ndie aliesoma ile riport fulani
Mwenye CV yake tafadhari
huyo Simbachawene huyoooHow?
Lakini mwisho wa siku Taifa halisongi kwenda mbeleMuache ale ale hapo mkuu. Kasifia sana halafu kwa Magu hakunaga kazi ya maana kiviiilee. Si unaona Kigwa daily yupo mahotelini na anaitwa mchapa kazi? Kwa Magu wewe pita pita tuu na kusifia.
Huyu Zungu wa Mtaa wa Aggrey na Likoma, chumba kimoja ghorofa ya juuu kabisa, karibu na mkombozi benki, mnywa pombe kali, leo ni waziri. OkFinally Bwana Zungu Ateuliwa Kuwa Waziri Leo hii
Rais Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akichukua nafasi ya Simbachawene.View attachment 1332056
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh ni wewe si ulikuwa unasifiaLugora kwenda zako maruhuni wewe mnyanyasa walokole na makanisa yao bado Mjema mkuu wa wilaya ya Ilala jiandae
Mjema bhana alichemka sana, ila nilishukuru Rc alipotengua kauli za Mjema.Lugora kwenda zako maruhuni wewe mnyanyasa walokole na makanisa yao bado Mjema mkuu wa wilaya ya Ilala jiandae