Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

Sasa amemvulia kofia kwa lipi hasa? Alafu kukutana na Blair kunalipi lamno maana nimstaafu tu Hugo!!' Msisifu kishamba Blair hana maajabu yeye akutane na wapinzani asikwepe jukumu hilo nahilo in ili kuitibu nchi
Amejipanga kukutana nao kiaina, tangu wamtangazie wana kiwembe.
She is so careful.

Tangu juzi anakutana nao kupitia wasaidizi wake a.k.a Polish
 
Wapinzani gani akutane nao? Hawa wanaomtukana mitandaoni? Hawa wasio na subira wanaotaka kumpangia lini wakutane naye wakati wao ndiyo wameomba kikao? Hawa wanaoambiwa msifanye kongamano kwa sasa wao wanajibu kwa jeuri lazima wafanye kongamano? Kuwa serious
Alikuja Obama na Bush tena wakiwa madarakani na hakuna jipya, itakuwa huyo mstaafu wa UK? Mama wa kambo hajatukanwa bali anapewa ukweli wake, mnamjaza ili abebe ajenda zenu nyie sukuma Gang.

Katiba mpya ni dai halali, na wapinzani wanafanya mikutano ya ndani hawahitaji hisani ya mama wa kambo. Hao cdm watakuwa ni wajinga kama watasubiri hisani ya ccm wasiotaka katiba mpya.
 
Alikuja Obama na Bush tena wakiwa madarakani na hakuna jipya, itakuwa huyo mstaafu wa UK? Mama wa kambo hajatukanwa bali anapewa ukweli wake, mnamjaza ili abebe ajenda zenu nyie sukuma Gang. Katiba mpya ni dai halali, na wapinzani wanafanya mikutano ya ndani hawahitaji hisani ya mama wa kambo. Hao cdm watakuwa ni wajinga kama watasubiri hisani ya ccm wasiotaka katiba mpya.
Hadi sasa naona wameshanyoosha mikono juu, Makamu Mkiti kawaamuru waingie barabarani kumdai Mkiti lakini hamna hata mtu mmoja aliyejitokeza, zimebaki kelele jf na Twitter ambapo impact yake ni ndogo sana.
 
mataga pori mnajua kujifariji sana.

Hivi ni mateso gani mapya mtakayowapa CDM ambayo hawajayapitia hapo awali??
 
Sasa amemvulia kofia kwa lipi hasa? Alafu kukutana na Blair kunalipi lamno maana nimstaafu tu Hugo!!' Msisifu kishamba Blair hana maajabu yeye akutane na wapinzani asikwepe jukumu hilo nahilo in ili kuitibu nchi
kukutana na wapinzani wasio na akili kama chadema ni matumizi mabaya ya muda rais ana mambo mengi ya kufanya hata brair anamuhimu kuliko angepoteza muda wake kuongea na mtu kama mbowe
 
Angekutana na kiongozi wa upinzani angekuwa beberu lakini kakutana na SSH hapo ni mdau
 
Mzungu hawajawahi kuwa na upendo na mtu yeyote isipokuwa kwa maslahi yake, tujiulize, wanataka nini hasa kwetu na hayo machanjo yao? Msaada tangu lini mtu akakubembeleza kukupa? Hatutaki huo msaada jamani, mbona hivyo?!
 
Back
Top Bottom