Hadi sasa naona wameshanyoosha mikono juu, Makamu Mkiti kawaamuru waingie barabarani kumdai Mkiti lakini hamna hata mtu mmoja aliyejitokeza, zimebaki kelele jf na Twitter ambapo impact yake ni ndogo sana.
Mzungu hawajawahi kuwa na upendo na mtu yeyote isipokuwa kwa maslahi yake, tujiulize, wanataka nini hasa kwetu na hayo machanjo yao? Msaada tangu lini mtu akakubembeleza kukupa? Hatutaki huo msaada jamani, mbona hivyo?!
nyie mataga pori ndiyo mseme kuwapa CDM mateso ndiyo sifa??Kupata mateso nayo ni sifa?
Ungemalizia basi ahaaaa mgabe bwanaMarehemu Mugabe ndio alikuwa kiboko ya Tony Blair.
Kumbe akishatoka Blair nchini mbowe ataachiwaMapambio yameanza
Kweli mkuu ni Cameroon ndio alikuwa hakupi msaada bila kuheshimu ndoa za jinsia moja.Ahahahahahah siyo huyu bwana,yule alikuwa David Cameroon..mpaka tukasnzisha kamsemo hapa Katerero ka nitaku-Cameroon ujue ahshsh
Mambo ya demokrasia hawakuzungumza kabisa? Au haikuwa vizuri kwenye hili?Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair.
Taarifa zaidi
Bado tu mnapambana na sukuma gang, mnachekesha na kutia hurumaAlikuja Obama na Bush tena wakiwa madarakani na hakuna jipya, itakuwa huyo mstaafu wa UK? Mama wa kambo hajatukanwa bali anapewa ukweli wake, mnamjaza ili abebe ajenda zenu nyie sukuma Gang. Katiba mpya ni dai halali, na wapinzani wanafanya mikutano ya ndani hawahitaji hisani ya mama wa kambo. Hao cdm watakuwa ni wajinga kama watasubiri hisani ya ccm wasiotaka katiba mpya.
Hapo anaonywa Udikta hauna nafasi Duniani....
Bila hao mabeberu hata mishahara mtashindwa kulipa 😂 🤣I always had a suspicion we inherited a globalist,today I confirmed it...Yani hii Blair Institute duh!sijui nianze wapi...tujiandae tu!
Kwahiyo baada ya kuwa Mmoja wa Wazungumzaji katika Kumbukizi ya Hayati Rais Mkapa ndiyo Kaalikwa? Je, na Bill Clinton nae ataalikwa hivi karibuni?Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair...