Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mama hata sijawahi kumpinga. Pamoja na mwendazake kupiga bit lakini aliingiliwa utu na kumtembelea mgonjwa Nairobi hospital. Lakini wengine walishindwa na kugwaya . Kwenye lugha mama yuko poa .You win Omela - lakini umemsikia mama Samia alivyo kuwa anatiririka na a very refined Queen's English pale Ikulu ya Entebbe,je siku za usoni mama Samia akukutana na Rais Biden na makamu wake Bi Harris kwa mazungumzo watakuwa overly impressed
Kwa mama unaona hata thread humu hazifutwi [emoji122][emoji120]. Tumuombee kiburi cha kiti kisije kumjaa
Odhis *