Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mama hata sijawahi kumpinga. Pamoja na mwendazake kupiga bit lakini aliingiliwa utu na kumtembelea mgonjwa Nairobi hospital. Lakini wengine walishindwa na kugwaya . Kwenye lugha mama yuko poa .You win Omela - lakini umemsikia mama Samia alivyo kuwa anatiririka na a very refined Queen's English pale Ikulu ya Entebbe,je siku za usoni mama Samia akukutana na Rais Biden na makamu wake Bi Harris kwa mazungumzo watakuwa overly impressed
Mitanzania michoyo km nini.. Mkiwa nje ya nchi michoyo!Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Mkuu, hilo la kwenda kumtembelea Lissu wakati amelazwa Hospitalini Nairobi mbona nalikumbuka sana, this proves kwamba mama huyu ni a truly independent minded person, si hilo tu vile vile ni jasiri sana.Mama hata sijawahi kumpinga. Pamoja na mwendazake kupiga bit lakini aliingiliwa utu na kumtembelea mgonjwa Nairobi hospital. Lakini wengine walishindwa na kugwaya . Kwenye lugha mama yuko poa .
Kwa mama unaona hata thread humu hazifutwi [emoji122][emoji120]. Tumuombee kiburi cha kiti kisije kumjaa
Odhis *