IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

Mlikuwa Wabishi sasa mnanyooka
Ubishi wa nini? tatizo lenu hamuelewi lolote mnashabikia tu mambo, wewe unafikiri duniani kote kila nchi wameweka ulazima wa kuvaa barakoa public kama mnavyofikiri? nikikuuliza hapo kuna ushahidi gani wa kisayansi wenye kuonesha watu kuvaa hizo barakoa inazuia maambukizi ya corona? sijui utapata wapi huo ushahidi, Nchi kama Denmark hakuna huo ulazima wa kuvaa barakoa ila ninyi mmeshikilia barakoa barakoa hamjui faida zake wala hasara zake kuvaliwa public.
 
Yale makinikia akaandaa igizo na maprofesa wake wakatuzuga eti thamani yake ni Noah moja kwa kila mtanzania... Na mataga yakachagiza kwa kushangilia ....poyoyo sana mwendazake
 
👆
Denmark hiyo
 
Yale makinikia akaandaa igizo na maprofesa wake wakatuzuga eti thamani yake ni Noah moja kwa kila mtanzania... Na mataga yakachagiza kwa kushangilia ....poyoyo sana mwendazake
Kuna waliyoleta report ya ukweli akawatimua akasema sio wazalendo wakati hao ndio walimpa ukweli.

Jamaa alikuwa mzee wa kujitekenya na kucheka mwenyewe. Anatanguliza watu wa kumuuliza maswali ya kijinga ili awajibu hataki critical issues yeye anataka kuongelea sijui DAS analala na demu gani, sijui nani kaibiwa shamba, Mambo ya kijinga ambayo angedeal nayo mtu wa Halmashauri tu.

Ila Kikwete alitukomesha baada ya kumtusi akaona tukome.
 
Hapo nilipobold hapo mbona unajichanganya sana, wewe binafsi ulianza lini kuipigia chapuo katiba mpya uliyoiita ni tatizo letu, huku mwishoni ukibainisha kuwa ni matatizo yenu, na wewe ukawa tayari umeshajitoa.
 
Hapo nilipobold hapo mbona unajichanganya sana, wewe binafsi ulianza lini kuipigia chapuo katiba mpya uliyoiita ni tatizo letu, huku mwishoni ukibainisha kuwa ni matatizo yenu, na wewe ukawa tayari umeshajitoa.
Nimesema matatizo yetu kwa kuweka matatizo yote niliyowahi kuyasema na nisiowahi na hata yale ambayo mimi binafsi sioni kuwa ni tatizo maana tunatofautiana mitazamo. Nimeitaja katiba kwa upande wenu nyie ambao ndio imekuwa wimbo wenu kwa muda mrefu kwa kuamini ndio source ya matatizo mengi ya uongozi, lakini naona sasa wimbo huo hamuiimbi sana na matokeo yake mmegeuka kuwa wasifiaji na watu wa kumtetea Mama kila anapokosolewa kwa mtazamo wa kuwakomoa wasukuma na ndio maana nikasema msipojiangalia mtakuja kushtuka mama anamaliza muda wake na kuwaacha bila kutatua yale mnayoyapigia kelele kama matatizo ya msingi mfano katiba mpya.
 
Tatizo wengi Magufuli amewagusa kwenye angle nyengine kabisa ila mkija humu kila mtu analalamika oh! alikuwa anauwa sana mara dikteta.
 
Huyu mama waziri wa mambo ya nje alikuwa anahojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45,anacheka cheka tu anazungumzia suala la chanjo huku anacheka cheka tu hamna kitu hapa.
 
Hayo mabarakoa yao wasije tulazimisha na raia tuvae kwa lazima, ameshaua uchumi wa utalii na biashara kwa kulazimisha all foreigners quarantine kwa 14 days, sasa asitulazimishe na mabarakoa yake.
Mpuuzi wewe ,mlipokuwq mnahimiza kuvuta mvuke hao watalii waliongezeka ?
 
Kinachokuuma ni nini ,wakati mlipokuwa mnahimiza tiba za zama wa kale za mawe mbona tulikaa kimya ?acheni sindano iwangie pande zote za mwili .Mama piga mzigo ,tuko na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…