Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kuna wananchi na wenye nchitunaomba hii mikataba iwe inafafanuliwa kwa wananchi ili tuwe tunaelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wananchi na wenye nchitunaomba hii mikataba iwe inafafanuliwa kwa wananchi ili tuwe tunaelewa.
Na mimi nashangaa,Hili Bomba la mafuta kila siku wanasaini mikataba
Duh hizi sign sasa zinachosha, hii itakuwa labda ya 5.Tuomba mfike mwisho kazi ianze.Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Kuna Copy walisahau kusaini ndo ameileta.
Wasimfunze tabia mbaya hawa waabudu shetani waliompotosha mwanafunzi wao.Hii nenda rudi ya Samia Kampala na Museveni Dar es Salaam inaanza kunitia Shaka ila ngoja kwa sasa niusome Mchezo mzima.
Hii project sio ndogo na sio ya muda mfupi. Kuna siasa nyingi lazima ziwekwe sawa. Nchi za Afrika hatuaminiki, ndio maana kuna guarantee nyingi za kuwapa.Mkuu ebu tueleweshe Hii Saini Saini Ya Huu Mkataba. Maana nikikumbuka Hii Ni Mara ya 3 o 4 Mkataba wa Hili Bomba Unasainiwa.
HahahahaMagufuli alisaini Mara mbili Uganda na Mara mbili Tanzania moja chato na moja dar es salaam samia hii itakua Mara ya pili moja Uganda na hii sasa Tanzania, inaonyesha hizi nchi haziaminiani.
Itakuwa kama safari ya kuhamia Dodoma ilikuwa na story nyingiiiiiiiDuh hizi sign sasa zinachosha,hii itakuwa labda ya 5.Tuomba mfike mwisho kazi ianze.
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Usisahau na Chato pia, dah.Na mimi nashangaa,
Ilianzia Tanga
Uganda
Uganda tena
Leo Dar
Saini MARA YA TATU, ama kipindi kile JIWE alikuwa anaendaga kufanyanniin huko kenya na uganda?Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...