Mkuu mbna una wasi wasi na kulala kwa M7 bongo?Analala au anarudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbna una wasi wasi na kulala kwa M7 bongo?Analala au anarudi?
Hahahaha mkuu ivi ww unaweza kwenda kujadili mambo ya ndani ya ndoa yako kwa jiran yako ? Huo ni uchuloooViongozi wa kiafrika bwana kila siku kama si kuzindua basi kusaini jambo moja kila muda.
Kwani mama alivyoenda safari ya kwanza Uganda akusaini au karatasi zilikuwa zimeisha?
Mara moja moja chekelea ikiisha akili hua zinawarudia.Viongozi wa kiafrika bwana kila siku kama si kuzindua basi kusaini jambo moja kila muda.
Kwani mama alivyoenda safari ya kwanza Uganda akusaini au karatasi zilikuwa zimeisha?
Kwani nani kamwarika mwenzake kuja kutiliana sahihi, labda tuanzie hapo.Hii nenda rudi ya Samia Kampala na Museveni Dar es Salaam inaanza kunitia Shaka ila ngoja kwa sasa niusome Mchezo mzima.
Kazi iendelee na kupigwa juu yaani na kusaini kote huko tunaambulia ka 5% tu.
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni za uwekezaji katika mradi huo (Host Government Agreement) utakaofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi.
========
Shughuli inaanza kwa nyimbo za Taifa na wimbo wa Afrika Mashariki. Gerson Msigwa anaanza kwa kutoa ufafanuzi wa wingi wa mikataba inayosainiwa kwenye bomba hilo.
Msigwa amefafanua mkataba wa leo ni makubaliano kati ya nchi ya Tanzania na kampuni itakayotekeleza mradi, amesema miradi mikubwa kama huu wa mafuta unaohusisha zaidi ya pande moja huambatana na utiaji saini wa mikataba kadha kadha hivyo hakuna kujirudia kwa utiaji saini wa mikataba.
Mkataba wa bomba la mafuta umetiwa saini na waziri wa nishati, Medard Kalemani shuhuda akiwa mwanasheria mkuu wa Tanzania, Prof. Kilangi na kwa upande wa kampuni ya EACOPP ni mkuregunzi mkuu wa kampuni hiyo, Martin John na atashuhudiwa na rais wa utafiti na uzalishaji wa Total Afrika, Nicholaus Teraz.
========
Pia soma
- Marais Museveni na Magufuli wakubaliana kujenga bomba la mafuta
- Rais Magufuli na Museven kuzindua mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda wiki ijayo
- Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga
- Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020
- Serikali za Tanzania na Uganda zatiliana saini mkataba wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta
- Tanzania yasaini mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima, Uganda
- Kampuni ya Uchimbaji mafuta Uganda yavunja Mkataba na TOTAL. Je, maslahi yetu kwenye Bomba la Mafuta yatakuwaje?
- Kampuni ya Uchimbaji mafuta Uganda yavunja Mkataba na TOTAL. Je, maslahi yetu kwenye Bomba la Mafuta yatakuwaje?
Unamuuliza kapuku suala la kiserikali hebu jiongeze basi kiakiliMkuu ebu tueleweshe Hii Saini Saini Ya Huu Mkataba. Maana nikikumbuka Hii Ni Mara ya 3 o 4 Mkataba wa Hili Bomba Unasainiwa.
Hii mikataba ikifafanuliwa kwa jinsi ninavyowajua wabongo itakua shughuli nzitoTunaomba hii mikataba iwe inafafanuliwa kwa wananchi ili tuwe tunaelewa.
Mbona hawa hawajatajwa na wapo hapoMkataba wa bomba la mafuta umetiwa saini na waziri wa nishati, Medard Kalemani shuhuda akiwa mwanasheria mkuu wa Tanzania, Prof. Kilangi na kwa upande wa kampuni ya EACOPP ni mkuregunzi mkuu wa kampuni hiyo, Martin John na atashuhudiwa na rais wa utafiti na uzalishaji wa Total Afrika, Nicholaus Teraz.
Wewe kama nani,lini uliwahi fafanuliwa mikataba? Si ndio maana ulichagua wabunge?Tunaomba hii mikataba iwe inafafanuliwa kwa wananchi ili tuwe tunaelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili Bomba la mafuta kila siku wanasaini mikataba.
Asije kutuibia maza etuMkuu mbna una wasi wasina kulala kwa M7 bongo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mikataba inasainiwa mara ngapi? Au wanasaini na kopi zake pia kwa zamu zamu?
Hili Bomba la mafuta kila siku wanasaini mikataba.