Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Napenda sana mambo yote ya nchi yafanyikie DODOMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeveni is a murderer he should be arrested and locked for lifeRais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni za uwekezaji katika mradi huo (Host Government Agreement) utakaofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi.
View attachment 1791412
Kweli kabisa, wana siasa wetu wana akili za kuku na Mirembe hospital iko karibu kuwahudumiaNapenda sana mambo yote ya nchi yafanyikie DODOMA
Toka 2017 hilo bomba mikataba inasadikiwa tu. Yaani utiaji saini umezidi hata muda wa ujenzi!Hapa ndipo Nimeshangaa, Hata Mwendazake pia alishasaini na Huyu Pia akaenda Huko Sasa kusaini Kusaini kusaini Kila Wakati.
Mimi ni muumini wa mji wa Dodoma lakini siko tayari kusema na wala sipendi kutukana viongozi wanguKweli kabisa, wana siasa wetu wana akili za kuku na Mirembe hospital iko karibu kuwahudumia
Nauliza tu, hivi rais wa Rwanda yuko wapi, sijamsikia kitambo sanaHii nenda rudi ya Samia Kampala na Museveni Dar es Salaam inaanza kunitia Shaka ila ngoja kwa sasa niusome Mchezo mzima.
Labda vipengele vimebadilika....Mbona mikataba imekuwa mingi hivi. Kila mara ni kusaini mikataba ya bomba la mafuta.
Labda kwa kuwa rais wetu ni mwanamke, hivyo jamaa amaeona huyo babu asitake kuleta ujinga wake.Mkuu mbna una wasi wasi na kulala kwa M7 bongo?
Wewe kama nani,lini uliwahi fafanuliwa mikataba? Si ndio maana ulichagua wabunge?
Akili za kuku za wana siasa, ndiyo maana JPM alikuwa anapeleka makao makuu Dodoma ili wanasiasa wawe karibu na Mirembe HospitaliToka 2017 hilo bomba mikataba inasadikiwa tu. Yaani utiaji saini umezidi hata muda wa ujenzi!
Hapana siwezi mkuu.Hahahaha mkuu ivi ww unaweza kwenda kujadili mambo ya ndani ya ndoa yako kwa jiran yako ? Huo ni uchulooo
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni za uwekezaji katika mradi huo (Host Government Agreement) utakaofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi.
========
Shughuli inaanza kwa nyimbo za Taifa na wimbo wa Afrika Mashariki. Gerson Msigwa anaanza kwa kutoa ufafanuzi wa wingi wa mikataba inayosainiwa kwenye bomba hilo.
Msigwa amefafanua mkataba wa leo ni makubaliano kati ya nchi ya Tanzania na kampuni itakayotekeleza mradi, amesema miradi mikubwa kama huu wa mafuta unaohusisha zaidi ya pande moja huambatana na utiaji saini wa mikataba kadha kadha hivyo hakuna kujirudia kwa utiaji saini wa mikataba.
Mkataba wa bomba la mafuta umetiwa saini na waziri wa nishati, Medard Kalemani shuhuda akiwa mwanasheria mkuu wa Tanzania, Prof. Kilangi na kwa upande wa kampuni ya EACOPP ni mkuregunzi mkuu wa kampuni hiyo, Martin John na atashuhudiwa na rais wa utafiti na uzalishaji wa Total Afrika, Nicholaus Teraz.
========
Pia soma
- Marais Museveni na Magufuli wakubaliana kujenga bomba la mafuta
- Rais Magufuli na Museven kuzindua mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda wiki ijayo
- Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga
- Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020
- Serikali za Tanzania na Uganda zatiliana saini mkataba wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta
- Tanzania yasaini mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima, Uganda
- Kampuni ya Uchimbaji mafuta Uganda yavunja Mkataba na TOTAL. Je, maslahi yetu kwenye Bomba la Mafuta yatakuwaje?
- Kampuni ya Uchimbaji mafuta Uganda yavunja Mkataba na TOTAL. Je, maslahi yetu kwenye Bomba la Mafuta yatakuwaje?
Kama huwezi basi ndionmaana mkataba wa Tz umekuka sainiwa Tz, kuna kitu kinaitwa triple parties, mradi huu ndugu unapelekea kuanzishwa kwa kampuni ya shea serikaki ya Tz , UG, na Total... (Kama sijakosea) so wana hisa wana ingia mikataba kuanzishwa kwa kampuni iyo EACOP.Hapana siwezi mkuu.