chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Watu wengine chuki ni Kama sehemu ya maisha yao, wasikuumize kichwa mama.Unajua wewe ni mgonjwa wa akili eee
Kumtakia kila la her Rais na wasaidizi wake ni unafki tangu lini
Dah una chuki weweee
Yani watu ambao mlikuwa mnasema bila wewe hakuna maendeleo, mitano tena, hakuna zaidi yako. Au mlikuwa mnalamba unyayo mpate ya kula.Unajua wewe ni mgonjwa wa akili eee
Kumtakia kila la her Rais na wasaidizi wake ni unafki tangu lini
Dah una chuki weweee
CAG kama mtendaji wa kwanza kuwasilisha taarifa kwa Rais mpya tangu aingie madarakani alikuwa na wakati mgumu sana sababu hakujua kama mama anapenda vificho au uwazi...ndio maana kuna sentensi ulikuwa unamuona anapata tabu kuzitaja... lakini mama kampa za uso kuwa awe wazi....Safi sana kwa taarifa hizi ambazo zipo transparent...
Ingekua ni kweye awamu ya Tano ungesikia maneno ya uongo uongo na kuvunga...
Haya bhanaZipo rushwa za kuforcus nazo sio ngono...kwa nn ukavue nguo kama ujalizia??? kwa uzijui sheria wewe??
Ukitaka kugundua Tanzania tuna unafiki mkubwa vijana wa lumumba leo wanampongeza Rais kwa kuanika madudu ya mtangulizi wake😂😂😂Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi...
Praise teamUkitaka kugundua Tanzania tuna unafiki mkubwa vijana wa lumumba leo wanampongeza Raisi kwa kuanika madudu ya mtangulizi wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo timu ni hatari zaidi ya ukoma, maovu yaliyoanikwa leo baadhi walitahadharisha sana kipindi cha nyumaPraise team
Rushwa ina madhara popote, inategemea inatolewa katika mazingira gani. Let’s say Rushwa inatolewa au inapokelewa ili tu asiye na vigezo kupata kazi fulani anatoa rushwa ili tu apate ile kazi, madhara yake ni makubwa mbeleni unless awe na uwezo mkubwa sana wa kazi regardless kukosa vigezo.Huko kwingine mkuu sidhani kama rushwa ya Ngono ina madhara kuliko kwenye taasisi za elimu,maana hapo ndipo wasomi wanazalishwa sasa embu jaribu madhara ya kupata msomi mwenye GPA ya juu ilihali ameipata kwa kupitia rushwa ya ngono.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Jamii forum sihami wallahMfumo anaotumia Mama wa Taifa ni 1.3.6 kitaalamu Watasha wanaita ELECTRONIC UPWARD. Hapo anakabia kwa juu mpaka ukose pumzi hivyo utoe pumzi ya akiba iliyopo UKANDA WA CHINI...
Lissu alikuwa changamsha genge tuu, chadema walijua hawapati chochote ndo maana eti VP akawekwa poyoyo Salum Mwalimu.Kwahyo lisu basi tena hutak awe raisi...[emoji38]
Kuna ishu ukiwa kiongozi hutakiwi kukurupuka ktk maamuzi, ATCL ni ishu kubwa hivyo lazima atulie kuifanyia maamuzi tena anaweza kuwasikia wabunge mchango wao ndio amalize. Urais ni taasisi bado kuna vyombo vingine bado kuna think tank, hao ni washauri wa Rais waliobobea sio lazima wawe wazawa.Asad ndo alikua mtamu,na ninashaka mkaguzi alikua na ripoti mbili,kavu ilikua kwajili ya marehemu,aliyetoa Leo ilikua m-badala mana haina mapendekezo yakutosha namana,solution hakutoa .kwann
Unamaanisha JK alifanikiwa Sanaa? Maana unasema jk mwingine Sasa tunasubiri u Vasco da Gama uanze.Tumepata Jk mgine tena hana haraka hasira wala hafokee mtu, naona huyu mama atafanikiwa sanaa
Kwa wa Tanzania wenye maono ya mbali sio wale ambao ni short sighted wanao ona tu ndege na stendi za ma basi, Jk ni model president wa modern Tz.Unamaanisha JK alifanikiwa Sanaa? Maana unasema jk mwingine Sasa tunasubiri u Vasco da Gama uanze.
Kwahiyo hayo ya tume huru na katiba mpya yakifanyika utageuka Tena hamtamwongezea SSH?/Lissu anangojea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
Ýule demu et yupo kwenye chama cha umoja wa pisikali tz🤣🤣🤣🤣Duuuh Dooooh Daaah ni hatari sana inabidi Nikki apige chini fasta kulinda heshima yake,maana akiendelea naye atakuja kuletewa Ngoma.