kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Muda si mrefu kibwebwe kitakuanguka!Wacha unafiki wewe .
Hapo ulipo roho imefura kwa hasira .
Inabidi ukubali mabadiliko tu.
Ulizoea kuuza maneno ya fitina kwa jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu kibwebwe kitakuanguka!Wacha unafiki wewe .
Hapo ulipo roho imefura kwa hasira .
Inabidi ukubali mabadiliko tu.
Ulizoea kuuza maneno ya fitina kwa jiwe
😂😂😂Wacha unafiki wewe .
Hapo ulipo roho imefura kwa hasira .
Inabidi ukubali mabadiliko tu.
Ulizoea kuuza maneno ya fitina kwa jiwe
Wakati anamuambia hayo maneno wewe ulikuwa wapi mkuu?Madam President alipoiona 'jana jioni' akampa DOKEZO CAG kuwa acha ujinga.. uweke mambo hadharani sitaki kusikia konakona kesho!!
Lazima tuwapige spana nyinyi MATAGA maana mliivuruga nchi yetu nyinyiMuda si mrefu kibwebwe kitakuanguka!
View attachment 1736821CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea jpm hau ameiediti baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo jpm tena.
Niliacha kabisa kuandika , nikakata tamaa,lakini hotuba yako ya leo umeganga moyo wangu uliokuwa umeinama. Hongera mama Mungu akutangulie katika kutenda haki. Naamini utafanya vizuri na watu watakuunga mkono.
lete ushahidi wacha porojo..mods mmelala sana siku hiziImeeditiwa usiku kucha.. printa ziliwaka moto... Kuongeza zile vitu jiwe alikua hapendi kusikia
Mwanzo mpya wa uwazi.