Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021


Bos na issue nzito nataka kushare na wewe dm nichek pls
 
Unajua zilipo ofisi za CAG,nenda kaombe ufafanuzi huko,ile faida ya bilioni 28 tuliyoambiwa atcl imeingiza uliihoji?
Uongo mtupu hakuna report ya CAG iliyoonyesha ATCL imepata faida ya 28bil,report ya aina hio ilitoka kichwani kwa yule mtetezi wa wanyonge.
 
Watu ndo wataenda kujiona maovu ya huyo mtu waliyemuita Shujaa wa Afrika. Hakuna kipindi nchi hii imepigwa kama kipindi cha magufuli. Kilichosaidia wananchi kutokujua ni uhuru wa vyombo vya Habari kuminywa tu!
Basi kumbe nchi hii ni tajiri sana kama alivyokuwa akisema kila siku. Ikiwa amejenga miundo mbinu mingi karibia kila kona ya nchi kwa miaka mitano na bado pesa imepigwa kuliko awamu nyingine yoyote.Hii inaninipa nguvu ya kuendelea kukiri kuwa alikuwa shujaa wa Afrika.
Jambo jingine ni kwamba alikuwa mbunifu wa kuzitafuta hizo pesa kuliko walioishia kula mpaka za wastaafu
 
Nahisi wamelipwa 'kutupoteza maboya'.
Hapana mkuu hawajalipwa,watu wanataarifa na madudu mengi ya awamu ya tano,ila uungesemea wapi mkuu bila kufungiwa.

Humu wanajitetea kuwa hela zilikuwa zichotwe baada ya Mzee kuzima.ila mama kaagiza uchunguzi Bot uanzie January.

January Mzee alikuwepo.
 
Sidhani kama tutakaa tumpate Rais kama Jiwe. Daaah hivi ni kweli tunaongelea historia yake au naota?

Ni kweli kuwa 2025 imewadia kabla ya muda wake?? Bado siamini ujue!
Mungu fundi mkuu

Odhis *
 
yuko sahh kusema uchunguz uanze January,Kama unakumbukumbu vzr tangu January majanga ya kupoteza viongozi ndo yalipoanza,hivyo baadhi ya ofisi ziliadhilika kiutendaji,hata magu pia ,kipindi hicho kuanzia January hakuwa na safari za kutoka toka nje ya ofisi,na kuanzia January pia afya ya magu haikuwa vizuri Sana,Mambo mengi akawa amepunguza speed kuyafuatilia Kama kawaida yake.mama SSH anajua fika ni kipindi Cha kuanzia January ndipo majanga ya kuugua,na kupoteza viongozi yalianzia,hivyo wakwapuaji ktk kipindi hicho wakapata mwanya wa kufanya robbery Kama kawaida.
 
Madam President alipoiona 'jana jioni' akampa DOKEZO CAG kuwa acha ujinga.. uweke mambo hadharani sitaki kusikia konakona kesho!!
Kweli Mbongo mpe kicha cha habari tu, yataoshq na atakuja na story full!!!
 
Je, itakuwa vp ripoti ya CAG ikija na taarifa kuwa kuna 'mzigo ulipigwa'?
 
Umesomeka vyema, ila kubaliana nami Mzee pia katupiga sana has a kwenye vitambulisho vya chinga, hela inakusanywa kwa mtendaji Wa kijiji TRA haiwapitii, je ni kiasi gani kilikusanywa? na zilenda kufanya kazi gani?
 
Je, itakuwa vp ripoti ya CAG ikija na taarifa kuwa kuna 'mzigo ulipigwa'?
Mkuu awamu ya tano hela zimepigwa sana,vitambulisho vya chinga,ununuzi Wa siri Wa mandege,ujenzi Wa makao makuu ddma.

Ni bunge lipi LA bajeti liliidhinisha hizo bajeti.
 
ATCL hasara tupu kwa miaka mitano mfululizo. Hivi CAG kwanini hakuliona na kulisema hilo live bila chenga kwenye report ya mwaka jana na juzi? #FearingMagufuli
Profesa Assad aliliona hilo na kulisema ndio maana jiwe alimtumia Ndugai ili bunge limpige vita hadi akamtumbua
 
I do really appreciate hii comment,,katika kujudge mambo kama haya ni vema pia kulitazama jambo from different angles kama ulivofanya,,sadly ni kwamba ripoti hii ya CAG kuhusu ATCL inazidi kutugawanya wakati yafaa kushikamana zaidi kujua tunapambanaje na hizo hasara
 
Mkuu awamu ya tano hela zimepigwa sana,vitambulisho vya chinga,ununuzi Wa siri Wa mandege,ujenzi Wa makao makuu ddma.

Ni bunge lipi LA bajeti liliidhinisha hizo bajeti.
Tukianzia hapo kwenye ndege ni uchafu mtupu. Ripoti ya CAG kwa mwaka 2019/2020 iliyotolewa jana inasema Kuna hasara ya Tsh 60 billion, na ikaongezea kuwa kwa miaka mitano shirika hilo limekuwa hasara kubwa sana meaning wakati pombe ikiwepo hakuwa na uwezo wa kutuambia madudu haya.
Nina imani na MAMA, noana tutapiga hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…