Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ameedit mkuu maana lazima angeng'olewa
 
Hiyo ni hasaraATCL iliyopata kwa miaka mitano kujiendesha kwa hasara,ukiongeza na hela zilizonunulia hayo madege ambazo hazitarudi,ni hasara juu ya hasara.

Kama nilisikiasikia kuna mengine yalikuwa yanakuja mwaka huu.
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida....
Kweli kabisa wewe ni zombi
 
Kikawaida CAG husoma taarifa fupi ya ripoti yake na kisha kumkabidhi Rais Vitabu vya ripoti.

Safari hii imekuwa tofauti kidogo CAG Kichere wakati akisoma taarifa yake alimwambia Rais Samia kwamba atamkabidhi kitabu kingine "kidogo" na kumuomba akisome kwa umakini mkubwa.

Nadhani hiki kitabu kidogo kitakuwa kimesheheni nondo za uhakika.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Hichi kitabu kiuhusiwe kichapishwe Magazetini baada ya Mama kukupitia

Wanyonge wanatakiwa wayajutie machozi yao bora wangeyaacha mwilini ili angalao yangetengeneza mkojo ili kusafisha Sumu mwilini
 
Ni balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…