Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Hapo moja kwa moja wamelengwa kina seti na rugemalila...
Kutumia neno "kulenga watu" inaweza isiwe sahihi...bora kusema "kulenga taasisi" japokua nadhani analenga kujua kinachoendelea.
 
Minong'ongo mitaani ni kwamba Kuna kiasi kikubwa cha pesa kimechotwa ndani ya kipindi hicho na matumizi yake hayako bayana

Kwa agizo la Madam President, anataka kujiridhisha minong'ongo hiyo? Au anataka kupata uhalali wa kushughulika na waliohusika? Tusubiri muda, siku hazigandi
Hapo Doto James Katibu mkuu wizara ya fedha hatoboi.
 
Sijawahi kufanya kampeni ya chama chochote lakini Rais wa sasa atanifanya nimpigie kampeni.
 
Mh.Rais ameshtukia mchezo, hapo waziri wa fedha na wasaidizi wake wajiandae , wale waliopiga wakati Magu mgonjwa mambo yao yatakuwa wazi muda sio mrefu.Hii nchi majizi mengi Sana .
 
Kwahiyo awamu ya 5 kipindi cha kwanza watu wamechukua chao mapema sio?

Sisi manyani acha tuendelee kushangilia tushazoea njaa haijalishi mkulima wa mahindi yupo au kasafiri.
 
Safi Sana,
naona mama anazifanyia KAZI nondo za SHEMASI.

SHEMASI alishasema kua Kuna mzgo mkubwa umepigwa kwa kisingizio Cha matibabu.
 
Back
Top Bottom