Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
shida iko wapi ? wacha na wengine wale keki ya taifa na wao walete hela walizotuibia huku uraiani tuzungushe pamoja hata hivyo wakati wakiwa katika ofisi hizo wametengeneza network na fedha za kutosha zinatosha kwa wao kufungua shughuli zao na kuajiri wengine katika kukuza faida na kuongeza nafasi ya ajira.Kuna watu watatumbuliwa live leo. Ila Magufuli ana roho mbaya na ni mbinafsi. Leo yeye angekuwa ni Rais ?Kama angeridhika na ualimu wa secondary ?Mwaka jana angekuwa ameretire na kiinua mgongo cha million 70.
Angewaacha tu. Kwani kura za maoni zinachukua mwezi ?Walioshindwa wangerudi kwenye nafasi zao. Walioshinda hapo ndo angewareplace.
Any way............Yeye ndo Rais ana mamlaka yote kasoro kuzuia kifo chake tu.