Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

shida iko wapi ? wacha na wengine wale keki ya taifa na wao walete hela walizotuibia huku uraiani tuzungushe pamoja hata hivyo wakati wakiwa katika ofisi hizo wametengeneza network na fedha za kutosha zinatosha kwa wao kufungua shughuli zao na kuajiri wengine katika kukuza faida na kuongeza nafasi ya ajira.
 
hela za kampen saiv znatoka kwa watia nia il uchumi wakat usiarbiwe
 
Wangeruhusu na watia nia urais uone kama wasingefika 10,000 siku ya 3. Magufuli na wabunge wa ccm wamefanya kila mtu ajione anaweza kuwa rais na mbunge
Sema wamefanya kila mtu aone ana fursa ndani ya ccm.

Sio kama Chadema, watia nia uraisi eti majimbo yao hakuna kutafuta mgombea mpaka sinema lao lakujifanya nao mgombea wao uraisi walimpata kidemokrasia iishe.

Chadema na demokrasia vinahusikanaje? Wamteue tu Lissu, waendelee na movie nyingine. Sidhani hata nyumbu wanafuatilia sinema lao.
 
ila sijui kwa upande wangu naona dogo Makonda kama kachemka vile bora angebaki au kanusa harufu ya kutolewa siku zijazo akaona abadili gia angani? angevumilia hapo kwa kuwa ubunge wa kigamboni ni kazi

Alifanyalo analijua sana na habahatishi waziri mtarajiwa
 
CCM wamejikosesha pesa za bure, kama ubunge tu zimekusanywa million 80 vipi kuhusu forms za urais Zenjibari wamekusanya ngapi? na vipi kama wangeruhusu pia forms za urais bara zitolewe wangekusanya pesa kibao na kisha kumsimamisha Magu!!
watia nia uraisi 32 x elfu 1,000,000 = 32,000,000.
 
Nyumbu ni wewe unayefuatilia hadi unajua mgombea wao mtarajiwa wa urais. Kama wewe siyi nyumbu ni mfuasi wa nyumbu. Idiot
 
CCM sio mchezo inapendwa wagombea watia Nia ubunge wafikia elfu nane Hadi asubuhi ya Leo kwa mujibu wa Raisi
Siyo kwamba CCM inapendwa bali watia nia wanataka maisha wapate pesa kupitia CCM kwani ukiwa CCM ni rahisi kupiga dili ukasamehewa
 
Nyumbu ni wewe unayefuatilia hadi unajua mgombea wao mtarajiwa wa urais. Kama wewe siyi nyumbu ni mfuasi wa nyumbu. Idiot
ACHA KUPANIKI Nyungu. Mtaji wa matusi mwisho wake ulikuwa 2015. Hamjajifunza tu?
 
Kuna siku umetetea hii mboa Leo unageuka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…