IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
Wako sawa mzee.
Kukaa Samia ni mwanamke wa Kiafrika kikawaida mwanamke anatakiwa akae kushoto kwa mwanamume.

Yeye mwenyewe aliwahi kusema pamoja na kuwa makamu wa Rais kwa mme wake ananyenyekea.
Halafu upigaji picha sijui utembeaji haimaniishi ndo protocol haijafuatwa

Kumbuka Magufuli aliwahi kuwapa akina Mhagama, Ummy Mwalimu, na mawaziri wake wengine kiti chake wakakaa wasaidizi wake wakamweleza hivo ni vibaya ,yeye akaamuru wakae tu.
 
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
Iko sawa tu mbona. Dangote ana hela kuliko rais. So mwenye hela ndo mkubwa kama hujui ilo utakuwa chizi
 
images.jpeg
images (1).jpeg

Wafuasi wa meko mna tabu sana
 
Ni mimi tu ndo macho yangu yana makengeza???
Maana naona Samia yupo Kulia na Dangote yupo Kushoto.
 
Tatizo Nini?
Protocol ndio Nini,vyovyote walivyosimama poa tu,ili mradi wameonekana,
Elimu ya kukaririshwa na wazungu mnaleta Kila sehemu?
Ni Kama vile kula,ukila kwa kutumia mkono wa kushoto sawa,na hata ukitumia wa Julia sawa hamna tatizo.
 
Kuna maana ya kuwa na protocol, huyo mama yenu analojua ni lipi sasa kama ya maana hajui hata haya madogo pia yanamshinda?
Yaani "Legacy" Defenders mnatia aibu sana, eti kwa sababu tu ndoto yenu ya kutaka awepo Jiwe imekufa!!!

Sasa Rais na mambo ya protocol anahusika vipi?!

JIWE IS DEAD... mtahangaika sana MATAGA, na matokeo yake ndo hayo mtabaki kulia lia hata kwa mambo ya kijinga!!!

Halafu ulivyo mnafiki, unasahau hata wakati wa Jiwe, Dangote alienda Ikulu na Jiwe alijichekesha chekesha ile mbaya, lakini akamuona hopeless tu!!!
Btw, kuna tofauti ya usimamaji kati ya Samia na Dangote hapo juu, na hapa chini:-?

RA.png
 
Ebu angalia nembo ya juu hapo ya Bibi na bwana..Angalia Bibi yupo upande gani, Halafu MH RAIS kasimama upande gani.Utapata jibu
 
Back
Top Bottom