NOSWEAT
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 332
- 324
WaumbueSamahaini mkuu, kunaweza kukawa na utofauti na hii picha? View attachment 1796568
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaumbueSamahaini mkuu, kunaweza kukawa na utofauti na hii picha? View attachment 1796568
EeenHeee!Mambo mengine mkuu tumerithi Kwa wakoloni tu lakin kimsingi hayana maana yoyote wala athari zozote kiuchumi, kiutamaduni wala kisiasa.
We jamaa ndo umenitoa matongotongoo,nimeaanglia upya Ni ukwel unachosema🙌Hii picha ni ile ile kama iliyopo hapo juu ila wahusika wamepishanishwa namana ya kusimama kwa kuchezea picha
Kuthibitisha angalia maeneo yafuatayo
1. Mwelekeo wa ngazi na zulia jekundu
2. Swichi nyekundu ya king'ora hapo kwenye langu la kuingilia mjengoni
3. Mkono wa Mh Rais SSH ambao haukukunjwa ngumi
4. Mguu ambao kiatu kimefunikwa na gauni
5. Mwinamo wa shingo wa Mh Rais SSH
6. Taswira ya Dangote alivyosimama, mwelekeo wa uso na miguu ilivyosimama
7. Swichi nyekendu iliyonyuma ya Dangote amepinduka nayo upande ule ule
8. Maandishi yaliyo chini ya nembo ya bibi na bwana yamepinduka kinyume nyume
Hitimisho picha imechezewa kuhalalisha changamoto ambayo mtoa mada amepewa na mdau wa JF, kwa hiyo picha ya kwanza kabisa na hii hapa ni moja .
hii sio halisi
Case closedSamahaini mkuu, kunaweza kukawa na utofauti na hii picha? View attachment 1796568
Alaaaah! Kuuuumbe,Dangote amesimama upande wa kulia wa mama samia.
Wajuaji wanataka Dangote asimame upande wa kushoto wa Mama Samia. Umeelewa?
Kama bado hujaelewa njoo PM
Something wrong, na angalia vidole vya mkono wake wa kushoto as hayuko relaxed.SSH anaonekana mwenye mawazo sana, ashaanza kuuza nchi ovyo ovyo na kuwapa ulaji wana mtandao, hiyo huzuni ni ya nini ?
Hii umeiedit si halisia kama ya mtoa post. Tazama hapo juu kwenye nembo ya taifa ndipo utaelewa, kama vp fanya kuedit na hiyo nembo ili mjadala uendelee
UsinifokeeHii picha ni ile ile kama iliyopo hapo juu ila wahusika wamepishanishwa namana ya kusimama kwa kuchezea picha
Kuthibitisha angalia maeneo yafuatayo
1. Mwelekeo wa ngazi na zulia jekundu
2. Swichi nyekundu ya king'ora hapo kwenye langu la kuingilia mjengoni
3. Mkono wa Mh Rais SSH ambao haukukunjwa ngumi
4. Mguu ambao kiatu kimefunikwa na gauni
5. Mwinamo wa shingo wa Mh Rais SSH
6. Taswira ya Dangote alivyosimama, mwelekeo wa uso na miguu ilivyosimama
7. Swichi nyekendu iliyonyuma ya Dangote amepinduka nayo upande ule ule
8. Maandishi yaliyo chini ya nembo ya bibi na bwana yamepinduka kinyume nyume
Hitimisho picha imechezewa kuhalalisha changamoto ambayo mtoa mada amepewa na mdau wa JF, kwa hiyo picha ya kwanza kabisa na hii hapa ni moja .
Yaani tena ka edit kiboya kweli,Hii umeiedit si halisia kama ya mtoa post. Tazama hapo juu kwenye nembo ya taifa ndipo utaelewa, kama vp fanya kuedit na hiyo nembo ili mjadala uendelee
Hebu jiulize tu na wewe kitendo cha Samia kukaa kushoto kimemshusha cheo kutoka Urais hadi mwenyekiti wa kijiji au bado ni Rais wa JMT?Dah! watu mnakashfa sio kawaida[emoji23][emoji23]
Lipumba bado anavaa bwanga?Hivi hii ilikuwa selfie nini!?View attachment 1796628
HahahhahaMbona title na picha ni tofauti mkuu au kushoto unamaanisha upande upi?