IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

Picha zilizoongezwa za mwendazake nadhani zitakuwa zimemchanganya na kumuumbua mleta mada
 
Ngoja aje Pascal Mayalla atusaidie katika hili!
Paskali muache tu kwa kuwa kwake mtoto hakuwa riziki. Mwendazake aliondoka kabla ya kutimiza ahadi yake kwa sukuma gang wengi, ikiwa ni pamoja na mwenzetu Paskali.
 
Dangote is back trying to exploit the weekness of the new president.

Lord have mercy on us!

Tanzania is listed back on Alibaba and Ebay, up for grabs to the highest bidder.
Wewe ni sukule na mjane wa mwendazake. Mfuate kaburini.
 
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
Wako sawa ila tails in chafu, watu wa Usafi wafanye kazi vizuri hizi picture zinaoneka dunia nzima, wanataka kumwaibasha Mama.
 
Wafuasi wa Jiwe wanamponda Mama Samia utadhani yeye ndie Corona iliyochukua uhai wake
 
SSH anaonekana mwenye mawazo sana, ashaanza kuuza nchi ovyo ovyo na kuwapa ulaji wana mtandao, hiyo huzuni ni ya nini ?
Mnajitia pressure bure tu, sijui kwa nini mataga ni waoga wa challenge kama mwendazake?
 
Wamepoteana 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…