Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.
Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.
Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.
Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.
Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.
Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========
Shamsi Vuai yuko Mwanakwerekwe, kwao huko.Makosa ya siku za nyuma bado yanaendelezwa kwasababu za kisiasa
1. Kutangazwa live na TBC ni propaganda tu. Hivi barabara ya chake chake na mnazi mmoja ni mambo ya mmuungano? Yanahusikaje na muungano?
2. Uwepo wa Hussein Mwinyi mteuliwa wa NEC bara ni propaganda tu za kampeni za kisiasa
3. NEC walitakiwa wazuie hili kwasababu ni '' rushwa ya kisiasa''
4. Haya ni makubaliano tu ''agreement'' ambayo hayana mashiko kisheria. Kamati za muungano zimeundwa kwa mujibu wa sheria gani? Zinapatakana kwa mujibu wa sheria gani? Makubaliano hayo ni kwa mujibu wa sheria gani?
Kwahiyo kilichotokea ni propaganda za uchaguzi, haya makubaliano hayana mashiko kisheria.
5. Kwavile Bunge la JMT na BLW hayakushirikishwa hoja za muungano zitaendelea kuleta matatizo.
Nani amesaini makubaliano kwa niaba ya Tanganyika?
Haya mambo yanayofanywa kisiasa ndiyo yanatufikisha hapa, na bado watu hawajajifunza. Hili ni suala la kushughukiwa na BLW na Bunge la Tanganyika.
Watanganyika wamebeba mzigo na siku watakapotaka makubaliano, siku hiyo muungano utakufa ghafla.
Yes watadai makubaliano tu ili kuhakikisha Zanzibar wanawajibika na kwavile si masuala ya kisheria, watapitisha makubaliano yao kama ilivyo leo.
Hivi Shamsa Vuai aliyeshughulikia sana haya mambo yupo wapi?
tindo JokaKuu
Makosa ya siku za nyuma bado yanaendelezwa kwasababu za kisiasa

Kamanda mwenzangu, probability ipo wazi tumeshashinda uchaguzi, hakuna dhuluma wala kunajisi box la kura.Kwa taarifa yako wapiga kura ni 29m+, nusu ya watanzania wote, kama mlipika data mkitegemea kunajisi box la kura, basi safari hii mmeliwa.
Kamanda mwenzangu,probability ipo wazi tumeshashinda uchaguzi,hakuna dhuluma wala kunajisi box la kura
[/QUO
Kwani chama chetu ni Saccos?Punguzeni jazba zisizo na kichwa Wala miguu,Endelea kupiga debe huko kwenye Sacco's,wenzenu wanatarget rudhuku tu kwa kuwatumia huku wakijua hawawez hata nusu ya kura za waTZl
Hujui mpaka leoKwani chama chetu ni Saccos?
Chama cha makamanda hiki.Hujui mpaka leo
Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.
Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.
Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.
Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.
Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.
Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========
Hiyo ni kwa ajili yenu wengi hatuhitaji hata kuifuatiliaHivi mnafahamu lakini km hoja za Muungano zimepunguzwa Sana. Fwatilieni TBC mujue Mambo makubwa yaliyofanywa ya kupunguza hoja za Muungano
==
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania zimekutana kutia saini makubaliano ya kuondoa hoja tano za Muungano ambazo zimeshapatiwa ufumbuzi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania zimekutana kupiga saini makubaliano hayo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zunguwa amesema zipo hoja nyingine sita zimeshatatuliwa bado kufikia makubaliano
Zungu ametaja hoja zilizoondolewa ni Ushirikishwaji wa Zanzibar kwenye masuala ya kimataifa na kikanda, Ushiriki wa Zanzibar katika ushiriki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, gharama ya kushusha mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar
Pia utafutaji na uchimbaji wa mafuta ya gesi asilia na utaratibu wa vikao vya kamati ya pamoja serikali ya mapinduzi ya zanzibar na serikali ya muungano ya kushughulikia masuala ya muungano
Yote hii ni ghilba tu. Sikiliza barabara za Chake chake na Hospitali ya Mnazi mmoja. Yanatuhusu nini?..kwenye nchi za wenzetu makubaliano kama haya yasingesainiwa wakati huu siku 11 kabla ya uchaguzi mkuu.
Dah! huyu Shamsa ni 'muumini wa muungano'' lakini pia anakubalika sana kwa utetezi wake upande wa ZanzibarShamsi vuai yuko mwanakwerekwe,kwao huko
Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.
Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.
Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.
Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.
Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.
Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========
Shime wazanzibari chukueni majembe sasa mkachimbe mafuta na gesi yenu. Sio Jambo la Muungano tena.
Kwanza uelewe umoja wa mataifa hujiungi bure ni pesaYaani huwaga sielewi hz Habari za Muungano. Nafikiri Wazanxibar wapewe Haki yao, wawe huru, FAIDA ya wao kuwa huru, fursa zitakuwa kubwa sana. Kwa ushirikiano wa kimataifa assume wanapeleka maafisa ubalozi nchi 50, maana yake zaidi ya wazanzibar 200 atakuwa ubalozini, bado kwenye madhirika ya Kimataifa, bado nk.