IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Mfano ukichukua sampo hapa JF, Umeona jinsi ambavyo watu hawamkubali au hao wengi wapo wapi?
Hapa tu jukwaani anakubalika sana.na ndio maana hata mada zake zinafungwa mkono na wengi. Laki I pia hata kama humkubali Mheshimiwa Kafulila kwa chuki zako binafsi lakini ukienda na kukaa pembeni ni lazima ukubali ukweli kuwa Chuma ni jembe kwelikweli
 
Mwandiko wa Kafulila tunaujua labda kama amekodi mtu.
Mheshimiwa Kafulila anatetewa na kusemewa na kuungwa mkono na watu wengi nikiwepo mimi mwenyewe kutokana na uchapa kazi wake. Wala yeye sizani hata kama yupo humu jukwaani. Tuwe na utamaduni wa kuwaunga mkono WAZALENDO aina ya Mheshimiwa Kafulila
 
Daudi umeamua kujipigia promo sio ?
 
Daudi umeamua kujipigia promo sio ?
Itakuwa wewe ni mgeni humu jukwaani. Mbona mimi namuunga mkono sana Mheshimiwa kafulila.je na mimi ni Kafulila? Napenda kukwambia kuwa Mheshimiwa Kafulila anaungwa mkono na wengi kutokama na uzalendo wake pamoja na uchapakazi wake.lakini pia Mheshimiwa Kafulila ni mtu muadilifu sana.
 
Kafulila ni sawa kabisa anaweza kupambana hasa na Upinzani
 
Eti mimi mgeni.Angalia nimejiunga lini JF.
 
Kafulila ndio nani?
 
Unaweza ukawa imejiunga muda lakini ukawa huna uelewa wa mambo. Ni sawa na mwanafunzi aliyekaa miaka minne shule na akaambulia kupata sifuri.
Wewe huna unalolijua.Ninamjua vizuri tokea huyu Kafulila akiwa Chadema akaja hamia NCCR akataka Fukuzwa akamlilia machozi Mbatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…