IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Hapana...sio kweli...na if that is the case...why bother give/elect a chief secretary to ambassadorial role that he would never fulfill!?... check your facts.

..huenda amepewa ubalozi kwasababu anatakiwa awasimamie watumishi wa serikali na mabalozi.

..diplomatic passport siyo "dili" kiasi hicho, hata mke na watoto wa mabalozi wanapewa diplomatic passports.
 
Civil servants ambayo msemaji wa kwanza anakataa kuwa siyo; yeye kwake civil servants ni wafanyakazi wa serikali...Get ypur facts right guys...Pamoja na hayo yote concept ya institution siyo kwamba moja jumlisha moja ni mbili...Wakati mwingine kuweka utendaji vizuri unarekebisha tu sheria ambapo kwa sasa sheria yetu haitutofautishi sisi sote ni watumishi wa umma na unaweza pelekwa kokote kama sifa zina ruhusu
The public Service Act haiwatambui Majaji na Mahakimu kuwa watumishi wa umma na kwa mujibu wa sheria hiyo hao siyo public servants.

Displinary authority ya Judges na Mahakimu siyo hiyo iliyopo kwenye The Public Service Act.
 
..asante.

..mimi nilikuwa naujua ukweli huo.

..lakini mchangiaji niliyekuwa namjibu nadhani alijua kuwa amekosea lakini akaendelea kung'ang'ania msimamo wake.
Watu wanatumia uzoefu wa hapa na pale kujadili mijadala nyeti na ya kisheria namna hii lazima washupaze shingo hata kama wanatetea wasichokijua.
 
..huenda amepewa ubalozi kwasababu anatakiwa awasimamie watumishi wa serikali na mabalozi.

..diplomatic passport siyo "dili" kiasi hicho, hata mke na watoto wa mabalozi wanapewa diplomatic passports.
Diplomatic passport ni deal ndugu...by the way..mabalozi wote wako Chini ya waziri wa Mambo ya kigeni..na chief secretary sio boss wa mawaziri....pia nikufahamishe tuu kwamba ata uku kwenye misongamano yetu barabarani Hana special treatment kama anazopata PM,CJ au Speaker. .yeye ni kiranja tuu wa wafanyakazi wa serikali..nje ya nchi he is a nobody....Marekani angeitwa chief of staff tuu.
 
Watu wanatumia uzoefu wa hapa na pale kujadili mijadala nyeti na ya kisheria namna hii lazima washupaze shingo hata kama wanatetea wasichokijua.

..kama jamaa anayedai ati Chief Secretary hatumii diplomatic passport.🤣
 
Diplomatic passport ni deal ndugu...by the way..mabalozi wote wako Chini ya waziri wa Mambo ya kigeni..na chief secretary sio boss wa mawaziri....pia nikufahamishe tuu kwamba ata uku kwenye misongamano yetu barabarani Hana special treatment kama anazopata PM,CJ au Speaker. .yeye ni kiranja tuu wa wafanyakazi wa serikali..nje ya nchi he is a nobody....Marekani angeitwa chief of staff tuu.

..Kuna viongozi wengi sana wana priviledge ya kutumia diplomatic passports za Tz.

..Ngoja ni kutajie kwa uchache, na ukitaka kujiridhisha tafuta Tanzania Passport and Travel documents Act.

1. Viongozi wote wakuu, pamoja na viongozi wakuu wastaafu.
2.Jaji Mkuu, Majaji wa mahakama ya rufaa, Majaji wa mahakama kuu, pamoja na wastaafu.
3.Mawaziri, Manaibu Waziri.
4. Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu Kiongozi wastaafu.
5.Mabalozi.
6.Mwanasheria Mkuu, Naibu Mwanasheria Mkuu.
7.Viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
8.Makatibu Wakuu wa Wizara, na Manaibu Makatibu Wakuu.
9.Wenyeviti wa Tume za Serikali.
10.Wanajeshi ngazi ya Major General kwenda juu.
11.Makamishna Jeshi la Polisi, pamoja na wastaafu.
12.Ma-principle kamishna wa Magereza, pamoja na wastaafu.
13.Gavana wa BOT, Manaibu Gavana.
14.Msajili wa vyama vya siasa.
15.Maofisa wa ubalozi.
16. Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
17.Naibu Spika, Naibu Spika mstaafu.
18.Katibu wa Bunge.
19. Wapambe / Aide-de-Camp wa viongozi wakuu.
19.Viongozi wa Kidini kulingana na maamuzi ya Mkurugenzi Mkuu wa Uhamiaji.
 
Mfumo ulivurugwa pale chama na serikali vilipotengenishwa na kuleta vyama vingi chuo cha kivukoni na Mzumbe vilikuwa vinafanya kazi yake vizuri....Siyo mbaya we learn through mistakes...Leadership imekuwa shida sana kwa watu wetu kwakua wengi hawana necessary skills only because hakuna system rasmi ya kuandaa viongozi...Nadhani hili ni muhimu kuangaliwa upya.
Executing strategies inline with organizstion culture, policies and procedures is also a big issue in civil services.

Assuming promotion to the ministry is based on what I have observed from ministry of health basi kuna tatizo.

Imechukua mtu kama Dr Gwajima na harakati zake za trouble shooting baada ya kuanza kusifiwa, kupitia wivu wa wengine ndio nimejua katibu mkuu wa wizara niliyekuwa namuona ovyo kumbe na yeye ni very techinical, naibu waziri TAMISEMI mambo ya afya na yeye ni technical kwenye management. Tofauti yao the latters are shy in stamping their authority where there is a problem; now that is an organisation culture problem.

Maana yake nini kama waziri sio mjuaji kama Dr Gwajima civil servant don’t bother na ndio maana utendaji kazi serikalini unakuwa ovyo. Hii culture ni mbaya sana serikalini, hope Bashiru kwa kuilewa ilani ya CCM inataka nini atawapush makatibu wakuu.

In short administration ya serikali ngazi za juu ni ovyo mno ndio maana raisi amekosa replacement let’s face it wengi wao anawajua hadi kuamua kwenda na mtu kama Bashiru ambae walau anaelewa what ought to be achieved.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Bashiru hajawahi kuwa civil servant bali public servant, muda wote alikuwa mwanaharakati akifundisha chuo kikuu. Labda kama huelewi, waalimu siyo civil servants bali ni watoa taaluma ambao wanaweza kuwa serikalini au kwenye siasa.
Rudi shule ukasome tena
Tatizo unatafsiri kiingereza kwenda kiswahili

Unafahamu maana ya neno Interchangable au similarities
 
CASE STUDY FROM ZAMBIA

July 1 , 2019

Understanding Zambia’s new Secretary to Cabinet

By Isaac Mwanza

Introduction​

PRESIDENT Edgar Chagwa Lungu’s appointment of Dr. Simon Kamwendo Miti as head of Zambia’s civil service has attracted the attention and some hot debate as expected from modern elites who make speculative rather than evidence-based comments on any person appointed to lead the Zambian civil service. This rather unproductive debate is largely focused on social media rumour-mongering and uninformed opinion. One would hope that well-read and well-informed Zambians will hail the appointment of Dr. Miti, and therefore will raise the discussion of this appointment above the current debate, to reminding the newly-appointed Secretary to Cabinet of the need to harmonise and achieve coherence between disparate functions and elements that exist in the public sector and, more importantly, rebuilding public confidence and the image and professionalism in the civil service.

The Work of Secretary to Cabinet​

As Dr. Miti assumes office as Secretary to Cabinet after his ratification, he needs to take off the jacket and tie to lead a campaign for delivering results in the public sector. This is so because apart from being the chief advisor to President Lungu on the management of the public service and his responsibility to him for securing the general efficiency and effectiveness of the public service, Dr. Miti will have a national task of ensuring that public services are delivered to the public efficiently.

Indeed, the public will judge Dr. Miti by his capacity to ensure that public services are being delivered to the public in an efficient manner. Zambian citizens have been reduced to beggars in their own land, so that today, it is an uphill battle for citizens to get services such as quality health, retirement benefits, passport and other legal documents issued by their own government. One need not remind Zambians of the nightmares of having one’s application for title to land processed at our Ministry of Lands, where it is much easier for foreign nationals to have their applications for title much more speedily processed than for Zambians.

There is need for a Secretary to Cabinet who can spearhead a change of attitude and improve a working culture among our civil servants. It is worryingly common to see our clerical staff, directors, nurses, etc. who report for work late and, instead of beginning the day’s work, run straight to have teas. Some even enter offices at 08:00 hours but for purposes of leaving a jacket hanging on the back of their chair only to come back later at 17:00 hours to collect their jacket and leave for home, knowing their monthly salary is secure.

Both supervisors and junior officers care less about how long one has to wait in a queue to obtain a service. This needs to change and a new system must be devised to have the public provide feedback on the performance of civil servants. Under the Kaunda era, civil servants in key offices with daily interaction with the public would not be allowed to stay in one station for far too long. We must replicate that old but efficient system of managing the civil service human resource.

Does Dr. Simon Miti have capacity to overturn the current culture and workings in the Civil Service?
In order to turn the tide and improve efficiency in the civil service, there is need for a Secretary to Cabinet who is focused and commands knowledge and insights into the broader perspective of public service operations.

The Zambian people deliberately provided, in their national Constitution, the mandatory demand to have a Secretary to Cabinet who has or had at least ten years’ experience as a permanent secretary or equivalent rank. A civil servant with such experience will be diligent and would have had a proven record of producing results and conversant with the procedures and systems of how government runs.

The background check on Dr. Miti as the presidential nominee for the position of Secretary to Cabinet shows that he has close to 30 years’ service in the public service having worked at district, provincial and national levels and ascended to the position of Principal Private Secretary to the President equivalent to Deputy Secretary to the Cabinet.

For the last 17 years, Dr. Miti has worked in three different administrations as a senior public service administrator and is fully acquainted with national planning systems, practices and processes. From 2002 until a year after the death of President Levy Mwanawasa, he was Permanent Secretary in the Ministry of Health. In 2009, he was moved to become Permanent Secretary at the Ministry of Science and Technology until 2012.

In 2012, the late President Michael Sata had moved him from the Ministry of Science and Technology to the Office of the Vice President in the same capacity as Permanent Secretary in charge of Parliamentary Business, a position he held until 2015 when he was moved to Ministry of National Development and Planning as Permanent Secretary until 2017. In that year, he assumed office as Permanent Secretary at Cabinet Office in charge of administration until 2018 when he was appointed as Principal Private Secretary to the President, a position he currently holds.

In the Mast Newspaper edition of Sunday, 30th June, 2019, we read a screaming headline attributed to one of our political party leaders, calling on the President to reverse the appointment of Dr. Miti as Secretary to Cabinet on grounds that the subordinate court had ordered the arrest of Dr. Miti to answer corruption-related charges brought against him at the time he served as Permanent Secretary at the Ministry of Health.

I took the liberty to go into the archives to find the Judgment in The People vs. Henry M. Kapoko and 10 Others (No. SSY/109/2009) delivered by Subordinate court Magistrate Mr. Exnorbit Zulu which I shared with a few friends and, if given an opportunity to make submissions at Parliament during the ratification hearing of Dr. Miti, will gladly avail the Committee.

Unfortunately, there is nowhere in that Judgment where the learned Magistrate issued any order to the effect that Dr. Miti should be arrested to answer to any charges. As a matter of fact, the last statement issued on this matter in December, 2012 by Timothy Moono, Spokesperson of the Anti-Corruption Commission (ACC), was that Dr. Miti was their key witness in one of the trials. Dr. Miti should not waste time to legitimise the politics of anyone by suing any politician for spreading malicious falsehood but must focus on his ratification hearing and later the task that awaits him when he finally assumes office.

This development did not surprise me at all because it has become part of the political game in Zambia to bring down any person perceived as a political opponent. Surely, Zambian politicians need to learn something about our politics and how they relate to our laws: no one is disqualified from holding even the highest office in the land simply because they are facing charges in court, nor can anyone be disqualified because, while facing charges, the case was discontinued by way of a nolle prosequi. One is disqualified only if they have been found guilty by a court of law.

I need not remind fellow citizens that the presumption of innocence, is one of the pillars of our legal system and is in force until an accused person is found guilty and pronounced so by a competent court of law. Therefore, the call to the President to reverse his nomination of Dr. Miti as referred to above, is unjustified and should not impede Parliament in its consideration of the President’s nomination for the post of Secretary to the Cabinet.

Conclusion​

The presidential nominee for Secretary to Cabinet, as can be seen above, has an impressive record of public service which makes him a fit person to hold office as Secretary to Cabinet. The experience he has, no doubt, has earned him leadership and competencies which would be vital for the operations of the public sector. The public, however, will be more interested in evaluating Dr. Miti as to whether he would be capable of transforming the public service to make it friendlier to consumers of public services. The Zambian public deserve better services from public servants and it is the duty of the Secretary to Cabinet to become more accessible to the people. Zambians expects the top civil servant to become the bridge between themselves and their public leaders – appointed and elected. I therefore call upon Dr. Miti to open the door of that office more widely to the public.

Source : Zambia : Understanding Zambia’s new Secretary to Cabinet
 

Dr Simon Miti is Secretary to the Cabinet and has also remained President Edgar Lungu’s Principal Private Secretary at State House.

These are two very senior government positions, and from a governance point of view, giving these two positions to one person dilutes efficiency. We were thinking that a week after the President promoted Dr Miti, a replacement was going to be made at State House, but this has not happened. Why?

From what we know, the position of Secretary to the Cabinet is the senior most in the civil service and the position of Principal Private Secretary is at the level of Deputy Secretary to the Cabinet. Who is supervising Dr Miti in his State House position? The answer is, he is supervising himself. Now we have a problem with that.

Dr Miti is supposed to be supervising the whole civil service, taking permanent secretaries or controlling officers to task for implementation of government policy to ensure a smooth running of the system. We don’t understand how Dr Miti is able to supervise the civil service and also prioritise State House.

You can’t serve two masters at the same time; one is bound to suffer. And from what we see, it’s the civil service that is bound to suffer here.

The civil service needs total commitment and the role of Secretary to the Cabinet is huge. It’s a very big responsibility. If President Lungu wanted Dr Miti to continue working as his Principal Private Secretary, why didn’t he let someone else take charge at Cabinet Office? Is he telling us that Zambia is short of qualified people who can be Secretary to the Cabinet? We don’t think so.

A problem has been created now. When there are urgent matters, people in ministries send letters to Cabinet Office and they will be told that ‘this man is not here, he is found at State House’. When they take letters to State House, the security there will also tell them that ‘there is no Secretary to the Cabinet here, take them to Cabinet Office’. With such confusion, it’s a given that there is going to be inefficiency in the running of the public service.

From an efficiency and operational point of view, the civil service is bound to suffer because of this confusion. The civil service is the engine of government and there must be seriousness in the leadership at the office of the Secretary to the Cabinet.

If Dr Miti is busy with the President’s programme at State House, let a replacement be made.
This is a fundamental issue. It may look small to others but we know that if a Secretary to the Cabinet is an absentee landlord, controlling officers who are craft are having a field day. There is no one watching over them. It is no wonder the so called austerity measures are not working because those who are supposed to implement and monitor are busy in competing offices.

How can you get rid of ghost workers in the civil service when you, as Secretary to Cabinet, are a ghost worker in your own office?

What we are challenging in this confusion at Cabinet Office is not unprecedented. When late president Levy Mwanawasa appointed late George Kunda as Minister of Justice and Attorney General, there was public outcry because this was going to create conflict of interest in many ways. People said no to having an Attorney General who doubles as a minister and supervises himself.

And this brings us to the elephant in the room. Which salary is Dr Miti drawing? Is he getting paid as Principal Private Secretary, Secretary to Cabinet or both? If he is drawing two salaries, that is wrong; it is a prosecutable illegality that has been authorized by the Head of State. In our view, if our oversight institutions are working, this is a matter that the Auditor General must flag.

We are asking the Secretary to the Cabinet, if he is a man of integrity, to face the President and request that he is removed from State House so that he can give the civil service direction. We insist that if Dr Miti is drawing two salaries, it is an illegality that must be addressed with the urgency it deserves. We cannot have a top most civil servant embroiled in such scandal.

And President Lungu must explain why he has refused to let go of his Principal Private Secretary. What is so special about him? What is it that only he can do and not a new appointee in that office? This needs to be explained. In the absence of an explanation, we will be left to speculate that maybe, there are sensitive deals that the President had assigned Dr Miti to take care of and he doesn’t want to risk any other person being involved.

Source : Which salary is Miti getting? State House, Cabinet or both?
 
Kwa hiyo anakuwa Katibu Mkuu wa Chama na Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati mmoja au anaacha kuwa katibu mkuu wa CCM?

Vipi kuhusu muongozo wa utumishi serikalini unaotenganisha mambo ya chama na utumishi wa umma serikalini?

Hata kama atajiuzulu Ukatibu Mkuu CCM, huu uteuzi unaonesha kwamba utumishi serikalini unaenda kupelekwa kichama chama zaidi.
Ndivyo ilivyo mkuu,wanaopata ajira wote kwa sasa ni makada tu
 
Hapo kwenye kuratibu shuhuri za TISS asije akaturudisha mambo ya kwenye viroba,kupigwa risasi watu,kutuokotwa msituni Mabwepande,Kupotea na kutekwa wapinzani.
 
Back
Top Bottom