Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Alimsahau na kumgeuka kivipi mkuu?Dr. Bashiru anaandaliwa kuwa Rais ajae. Ameteuliwa kuwa Balozi na Katibu Mkuu kiongozi ili;
1) Awe karibu na serikali ili ajue inavyoendeshwa.
2) CV yake ikamilike kwamba aliwahi kuwa na post serikalini kama kiongozi wa Makatibu Wakuu.
3) Aanze kuwa karibu na Boss, ili ajue mienendo na matakwa ya Boss, hata kama akikalia kiti cha Urais basi asivuke mipaka ya Boss aliemuweka pale (Boss anasahau kwamba hata yeye alivokalia kiti kile, alimsahau na kumgeuka aliemteua).
4) Kuonyeshwa kwamba Boss anamuamini sana, hivo afanye juu chini katika njia yake ya Siasa kumkumbuka Mtakatifu Boss.
Hivi amesha achia ukatibu wa ccm? Kqma nado sheria inasemaje mtumishi wa umma kujihusisha na siasa?
Mkulu kadhamiria kufanya yake.kadri atakavyo.tumuombe mungu atuepushie balaa lijalo.Mkuu Fundi Madirisha uko sahihi.
NA HATA DOGO POLE POLE KUPEWA UBUNGE WANATAKA 2022 VIKAO VYAO WAJE NA SAFU MPYA ILI MCHAKATO WA KUMUONGEZEA MUDA HUYU PAA PAAA MKULU MZEE YA chato, UANZIE CHAMANI.
NDIO UINGIE BUNGENI.......!
Tuta shuhudia mengi,
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Mnahesabu siku kama watoto wa boarding school...Hatoki mtu mpaka kieleweke...Kizazi cha mafisadi kikishaisha ndiyo ataondoka...Kwasasa we jiandaye tu ki saikolojia...Habari ndiyo hiyo!Mimi ombi langu ni moja tu! Ikifika hiyo 2025, namuomba sana huyu Mzee aheshimu Katiba aliyo apa kuilinda na aziheshimu pia zile kauli zake alizo zitoa hadharani, za kuto jiongezea hata siku moja tu ya kuendelea kutawala baada tu ya mhula wake kufikia kikomo!
Kiukweli wafanyakazi (tulio wengi) TUMEMCHOKA!😊
Sasa mbona na yeye mwenyewe ni fisadi!Mnahesabu siku kama watoto wa boarding school...Hatoki mtu mpaka kieleweke...Kizazi cha mafisadi kikishaisha ndiyo ataondoka...Kwasasa we jiandaye tu ki saikolojia...Habari ndiyo hiyo!
Most probably Bashiru ataishia kwenye ubalozi, hii ya katibu kiongozi ni zuga tu!
Maana hakukuwa na sababu zozote za kumteua kuwa balozi bila kuwa na nia ya kupangia kituo cha kazi cha ubalozi
Bashiru anapinga Jiwe kuendelea na uraisi baada ya muda wake kwa hiyo it seems jiwe alitaka amtoe kwenye chama aweke watakaokubali agenda yake ya kuongeza mihula
Mkuu, upo sahihi kwa %101..kwa nafasi yake ya Chief Secretary bila kuwa balozi lazima apewe diplomatic passport.
..nadhani hata WABUNGE huwa wanapewa diplomatic passports. hata wake wa mabalozi wanapewa diplomatic passports.
..wengine watanirekebisha kama nimekosea.
cc MALCOM LUMUMBA, Richard
Mbona magu mwenyewe ni fisadi? Hivi kile kivuko kiliishia wapi? Vipi nyumba za serikali?Mnahesabu siku kama watoto wa boarding school...Hatoki mtu mpaka kieleweke...Kizazi cha mafisadi kikishaisha ndiyo ataondoka...Kwasasa we jiandaye tu ki saikolojia...Habari ndiyo hiyo!