Mkuu mh rais hatakiwi kuongeza mda , hatuwezi sema mh jpm kwamba ndo bora zaidi kuliko watanzania wote ml hamsin, mh jpm ogopa Sana wanaokupamba malizia kipindi Chako kapumzike mkuu ,ukafulaie matunda ya kustaafu, na Mambo yako uliofanya Kama mkuu wa nchi yatabaki salama tu ikiwa nchi utaicha mikononi mwa chadema,huu ndo ukweli ccm wengi ni majizi,leo unapata tabu kwenye utawala wako kutokana na baadhi ya wanaccm waliokutangulia kuwa majizi, Kama wataka endelea badili mtazamo jiunge na chadema then gombea pitia chadema, huko utakutana na mawazo mapya, na mtazamo MPYA ,wenda mkuu ukawa kiongozi mzuri ila hicho chama Chako Cha Sasa kimeoza Sana,vinginevyo step down