IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Hehe

Labda awe raisi WA WCB
 
Hongera Balozi Dr Kakurwa, MP (PhD). Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu
 
Inapendeza KMK awe balozi, watu wa international relations wanaweza kutudadavulia vizuri hili.
Naona inawezekana ni kwa sababu yule KMK ana deal na wageni wengi wakubwa wa kimataifa ambao inakuwa si sawa wa deal na mtu ambaye hana hata ngazi ya ubalozi.

Ni kama Mkuu wa Itifaki vile, ni lazima awe balozi.
 
... mwezi haukuisha; aliteuliwa Feb. 26; Mar. 17 jamaa kavuta! Naamini jamaa hakuwa katika hali ya kawaida wakati anateua; ni kati ya teuzi zilizoshangaza mno.
Na dikteta alivunja katiba.

SG anatakiwa kuwa public servant yeye kamteua SG wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…