IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Iko hivyo
 
Siku hizi utumishi wa Umma lazima uwe mwana CCM
 
Sijaelewa mantiki ya kuteuliwa kuwa katibu mkuu na hapo hapo kuteuliwa kuwa balozi

Atatumikia kipi kati ya hivi viwili?
 
Duh, amechumpa
KM CCM
KM Kiongozi
Balozi sijui wa nini..
Congratulations mzee wa kaz
 
Katibu mkuu kiongozi ndo sawa na White House Chief of Staff?

Kama ni sawa, tatizo liko wapi endapo Rais aliyepo madarakani atamteua mtu kutoka kwenye chama chake?
 
Huo Ubalozi amempa ili wasifu uendane na Marehemu Kijazi ?
Ubalozi wa Tanzania siku hizi umeshuka thamani sana, usishangae hata Msigwa akateuliwa Balozi.

Si kama ule wa enzi za Balozi Magombe, Balozi Mbapila, Balozi Mahiga, Balozi Nyang'anyi, Balozi Malecela, Balozi Mwinyi, Balozi Mkapa.

Nimejiuliza sababu ya ubalozi mpaka sasa sijaelewa, au labda wanataka akienda nje kufanya deals awe na "Diplomatic immunity".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…