IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Mwalimu aliyeshindwa kupractice theory yake alishindwa vipi kutumia dola kubakia madarakani
 
What a wishful thinking - mnayo mtabiria Bashiru haya tatokea - atafanya kile Muumba wake aliye mleta Duniani alimu-preprogram afanye before joining his MAKER.

Wengi wenu mnatujia na stori za kutunga tu, mkiwa na lengo la kutaka ku-draw a wedge kati ya Dk.Bashiru na Dk. Magufuli eti Bashiru ameondolewa kwenye ukatibu mkuu wa CCM na kupelekwa Serikalini ili kuondoa mtu ambaye alikuwa hakubaliani na mapendekezo ya watu kutaka Dk. Magufuli aongeze term ya kuongozainchi indefinitely! Lini Dk. aliwahi kusema anataka kuongeza hata sekunde moja term yake ya pili ukifika tamati - wapi?

Wengine mnachukulia kuteuliwa kwa Dk. Kakurwa katika wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi kama ni demotion vile, wengine wanapendekeza kufungua kesi Mahakamani wakipinga kwamba uteuzi wake umekihuka katiba, would you believe it! Wakati mwingine unaona wazi wazi kwamba baadhi ya Watanzania hasa wapinzani uchanganyikiwa sana wakiona Dk.Magufuli anapanga safu ya makamanda wenye uzalendo wa kweli wa kumsaidia katika azma yake ya kweli ya kutaka kuendeleza Taifa letu, wanatamani sana ashindwe miserably, ili mwisho wa siku wa-rejoice wakisema kiko wapi?? Ma sadist wa type hiyo wapo sana,we jaribu kupitia skewed comments zao herein ndio utagunduwa ninacho kisema mimi.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom