Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge wa kuteuliwaKMK (Mstaafu) Dr. Balozi Mwl. BAK (PhD)
Asante mungu kwa wema wako leo lile dubwasha halipo duniani.Kamanda dogo acha kulalama
Ataongea nini tena babake kafa.Huyo mtu naona amegeuka bubu hata bungeni simsikii
Ku-cement mwelekeo wa kumfanya mtawala kutawala milele.Huu uteuzi mpaka leo hatujui ulikuwa na malengo yapi?
HakikaKongole Dr. Bashiru Ally Kakurwa kwa heshima kubwa uliyokabidhiwa na Dr. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Endelea kulitumikia taifa vyema.
View attachment 1712543Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Katibu Mkuu Kiongozi)
Yako wapi sasa. Dogo alisema ukweli nyie mkaona analalama.🤣🤣Kamanda dogo acha kulalama