johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Source TBC
Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Na mimi nilitaka kumuuliza hivyo.johnthebaptist,
Agenda ilikuwa nini ya kikao hicho na taarifa kwa umma ya yaliyojiri kutoka kikao hicho. Au Coronavirus inaleta changamoto?
Maana bila taarifa ya kujitosheleza kama hii inaleta maswali mengi huku mtaani na mwisho serikali kukemea uvumi wakati serikali haipo wazi kikao hicho cha kabineti kilipewa taarifa zipi na maazimio yake ni yepi.
Endelea kunywa mtori nyama utazikuta chini bwashee!Na mimi nilitaka kumuuliza hivyo.
Kwamba sawa baraza limekaa, hoja ni ni vitu gani vimeongelewa. Kama hakuna tarifa inayotolewa kuhusu agenda na maazimio, na kwa vile vikao vya baraza la mawaziri ni siri, KUNA HAJA GANI YA KUSEMA BARAZA LIMEKAA? Wakae wasikae hao ni yao na utaratibu wao.
Ikulu ya nchi ipo Dodoma ni kwa nini vikao kama cabinet vinafanyika Dar siku hizi??Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Ni karibu na Zanzibar!Ikulu ya nchi ipo Dodoma ni kwa nini vikao kama cabinet vinafanyika Dar siku hizi??
Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Ukisikiliza viapo vya mawaziri utagundua kuwa sio kila kitu tunapaswa kufahamu, na kwamba kuna mambo wanayojadili ni siri.Na mimi nilitaka kumuuliza hivyo.