Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.

Source TBC
Hii nayo ni news worth kuandikwa JF? Kutolewa na TBC I can understand, maana TBC ni vuvuzela la serikali. Hawana la maana la kutuambia, siku moja mtaona news za TBC Raisi anywa chai asubuhi! Rais aenda kulala chumbani kwake usiku!
 
Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kuzuiliwa kupitia matamko yanayovunja katiba ya nchi (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), Katibu Mkuu wa CCM chama dola kinachoongoza serikali ya awamu ya tano atoa msimamo wa chama chake CCM

 
March 10, 2020
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu
Kisutu
Dar es Salaam, Tanzania

Hali ilivyokuwa asubuhi nje ya mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Tanzania. Leo ni siku ya kutolewa hukumu ktk kesi inayowakabili viongozi wa kisiasa kambi ya upinzani

 
Sala ya kuombea haki itendeke maana dunia nzima inaiangalia Tanzania na wale waliokabidhiwa mamlaka ya kutenda haki nchini

 
Vipi agenda ya kumsifu na kumtukuza ni kama bungeni au huko ndio balaa zaidi
 
Back
Top Bottom