sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 802
- 1,322
Hao mawaziri ni kama sanamu tu, hawana usemi, ni kutimiza mradi tu. Kuna wa kutoa wazo tofauti na yeye? Wanaangalia midomo ya Rais inachezacheza vipi wanafuatisha humo humo.Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Hivi kuna waziri yeyote mwenye ubavu wa kumshauri jiwe au huwa wanaenda kumsikiliza tuRais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Dr Shein!Hivi kuna waziri yeyote mwenye ubavu wa kumshauri jiwe au huwa wanaenda kumsikiliza tu
Kabudi kaenda kuomba msamaha kwa beberu, IMF na WB watamwaga mifedha ya uchaguzi, China hasomeki kwa sasaRais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Sema kwa sauti zaidi!😀
Full cabinet and their supporting staff to be paid for being away from the capital is expensive.So What?
Hawana agenda zinazogusa wananchi moja kwa moja,Labda mafuriko nchi nzima na miundo mbinu kuharibiwa ilikuwa ni agenda. Hii haiwezi kuwa ni siri chini ya viapo, hivi vitu ni vya kawaida na wananchi wangetaka kujua baraza la mawaziri wana agenda gani kila kunapotokea changamoto.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kila mara inapokutana kujadili mambo, Humphrey Polepole baadaya hutoa taarifa kwa umma juu ya agenda, maazimio na maelekezo kwa serikali .
Nini kinaifanya Sekretariati ya Kabineti ya Serikali ya CCM kufanya kila kitu siri na kutuletea mapicha picha bila taarifa kwa umma juu ya mambo ya kawaida yasiyo chini ya siri za viapo.
Hawana agenda zinazogusa wananchi moja kwa moja,
Agenda zao ni hizi
Wamejadili kuwa wameilazisha mahakama imfunge jela mbowe. Waziri wa mambo ya ndani ajipange kutekeleza uamuzi juu haramu
Waziri amuamuru Mamombosasa atangaze mangula kalishwa sumu ili tuhuma wambebeshe membe
Zoezi LA luwanunua wapinzani linaendelea, tutarajie wapinzani wengine kuunga mkono juhudi.
Kila waziri ahakikishe anafanya kila linalowezekana kuhakikisha chadema inakufa
So issue isn't about conference!,the issue is about what they discuss...???
Mpaka nimejipinda kuandika kiingilishi jua nina kinagaubaga moyoni...
ngosha vip mbona sikuoni hapoRais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Kwanini hafanyii Dodoma?!Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
big freaking deal!!Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC
Acha uwongo wewe,serikali ilishahamia Dodoma kitambo...hahahaaaaRais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm.
Source TBC