IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

Kuna mengi tu ya huyo alietumbuliwa nlikua huko pia.
 
Ila mambo mengine ni ya kujitakia, watu wote hao walikuwa wanajisaidia wapi? Mambo mengine ya ajabu sana!
 
Hiyo Wilaya magari yote mabovu, Mkuu wa Wilaya hana gari, Mkurugenzi Hana gari, DAs hana hana gari.

Sijui kosa la nani hapo.
Kosa ni la mkuu wa wilaya kwa kushindwa kutengeneza magari yaliyopo, pesa si wanakusanya, wajibane bane hivyo hivyo wapeleke magari gereji
 
Kufa kufaana, ila hili kifo kimepeleka msiba sehemu nyingine.
 
Mkoa wa Pwani unawilaya 6 tu, Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Mafia na Rufiji. Wilaya ya Rufiji ina kata 19, Kibiti ni moja wapo. Pia makao makuu ya Wilaya ya Rufiji yapo Kibiti.
Bungu, Chumbi,Ikwiriri, Kibiti, Kiongoroni, Mahege, Maparoni, Mbuchi, Mbwara, Mchukwi, Mgomba, Mkongo, Mtunda, Mwaseni, Ngorongo,
Ruaruke, Salale, Umwe, Utete, Kilimani, Kipugila na Ngolongo.
 
Kibiti ni wilaya mpya ilianzishwa 2015 mkuu jaribu uchunguze. Mkuu wa wilaya ya kibiti ni bwana GULAM KIFU, mkuu wa wilaya ya rufiji alietenguliwa ni JUMA NJWAYO huoni hapo kama niwilaya mbili tofauti?.
 
Angeliuza mvx wake pesa atumie kuwajengea choo
Yeye angetumia hata bodaboda kwa shuguli zake za kazi

Ova
Unaambiwa aliyetenguliwa sio yule wa kutojenga choo, watu mnaendelea kujadili kitu kisicho, huu uzi hauna maana yoyote
 
Angalao nmepata mtu aliyeongea ukwel. Watu wanazani hayo mapato yanamatumizi ya aina moja tu, halmashauri hazina pesa zinajikongoja vibaya mno. Japo suala la choo lilikua la muhimu
 
Nchi ishakuwa ngumu hii,ukibaki ofisini unakutana na mziki wa JPM,ukisema uende jimboni unakutana na mziki wa wajumbe
 
Nchi ishakuwa ngumu hii,ukibaki ofisini unakutana na mziki wa JPM,ukisema uende jimboni unakutana na mziki wa wajumbe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alikusumbua wakati unafanya shughuli za 'kichama'? Au wewe ni mpinzani?
 
Inachoshangaza, kila aingiaye husema nimekuta nchi ipo hoi, nimekuta hiki kipo hovyo, nimekuta wezi wengi...etc LAKINI HAKUNA ANAYESEMA HUO UHOVYO UMESABABISHWA NA NANI..!!!
hata atakekuja baadae nae atasema 'nilikuta nchi maamuzi ni ya mtu mmoja tu anachoamua ndio hicho. hakutaka kufuata sheria au mifumo iliyopo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…