Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Rais John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kuwaapisha viongozi aliowateua jana Oktoba 19
 
Tujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema
Bado hajatokea mkuu!
 
Duh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
Mkuu;
Rais Magufuli ajifunze nini?

Kama ni chuki hawezi kuziepuka kwa sababu anaongoza Taifa la watu zaidi ya milioni 50. Hawezi kupendwa na wote anaowaongoza. Hata Mungu na mitume wake wanachukiwa na baadhi ya binadamu.

Kinachotakiwa ni kufanya kile anachokifanya kama anakiamini na muda wake ukiisha wananchi watampima.
 
Labda TBC 3, lakini hawa wengine wapo kimya na wanaendelea na Kapu la Habari wala hakua kidokezo cha kuwepo kwa hilo tukio. Ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…