Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Msukuma gan mbeambea hvyo au kutaka kujionesha wew ndo unampendá sn mheshimiwa ?pumbavu.Bahat mbaya mim sio sehemu ya wapiga ramli
Jembe linapendwa balaaa!
Your browser is not able to display this video.
 
Post yako namba moja ni kama ile mipasho ya yale mashangingi mazee ya Mwananyamala yakisutana. Sio post yenye hoja za kiume bali hoja za kimbea, kusutana na kuzodoana. Kuwa na hoja za kiume boss.
He is a bully.. he feels good by doing so..

Ni mtu mwenye msongo wa mawazo, alikuwa anaigiza humu yeye billionea. Aliwekaga bank statement ina $4 million. Hahaha kumbe kapuku tu akirudi kupiga maboksi anaenda kujaza choo cha mama. Hata kumnunulia mamake sofa anashindwa. Sofa za tangia Mzee zaidi ya miaka kumi ndio hizohizo mpaka zimechanika chanika..
 
Eti ooh...mbona mtu mwenyewe kapooza sana...ooh mbona alikuwa anaongea kinyonge. Ooh sijui nini...

mtoto wa kiume kutumia viambishi vya ‘ooh’ tunakuwa na mashaka na wewe.

Dr. John Joseph Pombe Magufuli aishi sana tena sana na awadhibiti wahujumu uchumi wa nchi lakini
siyo kwa ‘ooh’
 
Mpaka sasa sijaelewa nia hasa ya Zitto na watu wake ilikuwa ni nini? kuzusha uongo wa kifo cha Rais wa nchi tena kwa kushangilia si kitu cha kawaida katika jamii yoyote ile inaweza kuleta machafuko au kuhatarisha usalama wa nchi. Hawa watu wote waliozusha huo uongo wanatakiwa wawe wameshakamatwa na kufunguliwa mashitaka. Wahenga walisema"Heri mchawi kuliko muongo". Zitto na watu wake hawana nia nzuri na nchi hii.
 

Mi naona kuwakamata na kuwafungulia mashitaka ni kuwapa umuhimu ambao hawaustahili.

Ni wa kupuuzwa tu hao.
 
Mpaka kufika ijumaa ya week iliyopita, hakuna mwanasiasa wa Tanzania niliyekuwa namkubali na kumpenda kama Zitto Kabwe. Lakini kwa namna alivyoshabikia uzushi juu ya afya ya JIWE nimemdharau sana na kumshusha. Sitaki hata kumsikia. Najuta kujitangaza kama mwanaACT kindaki ndaki na suppoter wa Zitto nikiwa chuoni. Kwa sasa nitampinga nikiwa JF, DAR, KIGOMA,KASULU MPAKA MANYOVU KWETU.
 

Hahahahaa.
 
Hata kama anaumwa au alikuwa anaumwa, so what?

Nani ambaye hajawahi kuumwa?

Vyovyote vile, kilicho dhahiri shahiri ni kwamba, hali yake si kama wale wafamaji walivyotaka kutuaminisha.
Huyu mungu mtu yeye anafanya kama vile hawezi umwa yani yeye ni immortal kama Ras As Ghul
 
Swali je mh anaumwa au???, lakini simba na yanga huwa haziombeani mema MKUU!!!. Tunaonaga mpaka majeneza uwanjani!!!! Afu hata naibu supika alimzika sijui meenyekiti au nani vile kule mbeya pamoja na bendera ya chedema!!!.
Kwahiyo malaika mkuu akiugua kuzungumzia ugonjwa wake ni nongwa? Nilisahau malaika mkuu huwa haugui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…