Ikulu sasa ni BMW kwa kwenda mbele

Ikulu sasa ni BMW kwa kwenda mbele

Status
Not open for further replies.
Usalama unaoongelewa hapa ni usalama wa kutopigwa mawe na wananchi wanaodai maisha bora kwa kila Mtanzania. Je, Bima lina uwezo mkubwa wa kustahimili vitofa kuliko Masidisi? Hakuna njia mbadala ya kufanya wananchi wasipopoe msafara wa Muungwana? Tanzania bila kupopoana inawezekana!
 
Mkuu hiyo ni bei gani hiyo?
Inaweza ikawa ghari sana kuliko zetu hizi?

Audi zinatumia engine ya VW. Hivyo haina tofauti na VW. Ni gari za kati ndiyo maana aliamua kutumia.
Aligoma kutumia benz au bmw akidai ni gari za kifahari kwa ajili ya watu wenye pesa.
Huyo chancellor aliyepita (Shroeder) aligoma pia kuishi kwenye nyumba mpya iliyojengwa kwa ajili ya chancellor akidai inastahili matajiri na kwamba yeye na mshahara wake hataweza kulipa kodi.
 
Wakuu, hapa tunachemsha,

Maana mpaka sasa hakuna, alietaja exact specifications na capabilities za hizo gari vis a vis bei yake. Zile gari sio za JMK kama JMK, ni za ulinzi wa rais wa JMT.

Rais wa JMT kununuliwa BMW 5 kwa ajili ya usalama wa msafara wake nayo tunafanya nongwa?...Say zimecost 1bn haya, hivi taasisi ya urais tunaichukuliaje?

Hapohapo tunamtaka apambane na mafisadi mamafia kama kina Jeetu Patel, Y. Manji na RA,... Hapohapo tulishangilia alipomtosa mshkaji wake mzee wa ten percent EL, halafu inapokuja kwenye kuimarisha ulinzi wake, tunalalamika tena...

Mzee Icadon kule kwenye thread ya ulinzi wa viongozi amelichambua vizuri BMW X5(special purpose) na capabilities zake wakati wa hekaheka za kuokoa maisha ya VIPs kama msafara ukivamiwa na maharamia...

Ifike mahali tupime kidogo kabla ya kulalamikia KILA kitu.... IT DOESNT MAKE SENSE SOMETIMES!... Kwa hili hapana as tunabank kwenye kuangalia mtu badala ya issue.
Sober argument yako nzuri.

Umenifanya nikarinie bubu na argument yako.Inanifanya kwa shingo upande nikubali ununuzi wa hayo magari.Labda niongezee.

Ulinzi wa Raisi ni kazi ya wananchi wote si kazi ya magari na ma-bouncer wale wanaotembea na Raisi pekee..Ndiyo maana Raisi akipendwa sana na wananchi Ulinzi huwa mdogo sana.Maana hakuna hitman wa hit and run fast aweza thubutu kujaribu kumshambulia Raisi iwe kwa jiwe au kombora.Raisi apendwaye sana na wananchi anakuwa ni high risk target kwa wazoefu wa hit and run maana waweza jikuta wananchi wampendao Raisi wao wanawakimbiza kama mbwa bila kujali silaha walizonazo wakijaribu ku-hit raisi wao mpendwa.

Ndiyo maana Raisi yeyote ambaye hutaka kuimarisha ulinzi wake kitu kimoja akifanyacho huwa ni kuwa mchapa kazi anayejali wananchi na huchagua wasaidizi wazuri wachapa kazi wazuri wanaosimamia maslahi ya wananchi ili wananchi wampende Raisi wao na wawe tayari kumlinda na kumtetea popote alipo.Ukiwachagua wasaidizi wabaya,wanafiki na wapotoshaji na wasiokuwa wachapa kazi ina maana taasisi ya Raisi itadharaulika na watu wahuni watataka kichwa cha Raisi na gharama za kumlinda zitaenda juu sana.Gharama za kumlinda Raisi asiyependwa na wananchi ni kubwa mno.Kwa ufupi ni hatari kumlinda raisi asiyependwa.Mlinzi hulali hupumziki na saa yoyote waweza jambishwa cheche na wananchi wasiompenda Raisi asiyesimamia maslahi yao.

Raisi Nyerere alikuwa kabla ya kutembelea mahali alikuwa anatuma advance team ya wasaidizi wake wa karibu muda mrefu kabla ya ziara zake.Lengo kuu la advance team hizo lilikuwa si kutathmini hali ya ulinzi na usalama wake tu kule aendako bali sehemu kubwa ilikuwa kutathmini utendaji wa watendaji aliowateua kule aujue kama utendaji wao unafanya apendwe au achukiwe na kuangalia kama kweli wanatekeleza kwa vitendo yale yaliyoagizwa.Akijua kuwa utendaji wao kule ni wa mashaka alikuwa akibadilisha uongozi kule kabla hajatembelea hapo aendapo.Akiwasili anaanza kucheka na kuwaambia wananchi nimewaletea kijana mwingine mchapa kazi hapa hivyo hasira za wananchi zinakuwa zimeisha afikapo kule na wananchi humshangilia mno.Sio wanashangilia hotuba hasa bali wanashangilia yale mabadiliko aliyofanya.

Kitendo cha Raisi kushambuliwa mfano na mawe kule Mbeya ni ishara tosha kuwa advance team za Kikwete zina walakini.Hazikutoa feedback nzuri ya watendaji kule au emotions za wananchi kuhusiana na utendaji wa Rasi.Si kitu tu cha kulaumu wananchi wa kule,polisi au walinzi wa msafara wa Kikwete.Yawezekana kabisa watendaji wa kule aliowateua Kikwete ni bogus hawakidhi matarajio ya wananchi hivyo wananchi wakaona walipize kisasi kwake.Naiomba serikali iwaachie huru wale waliorusha mawe iwashugulikie watendaji ambao hawakukidhi matarajio ya wananchi kiasi cha kufanya Raisi atupiwe mawe.

Sasa hivi advance team hivi kazi yao ni nini sasa hivi? Raisi hadi inafikia kwenye mkutano wa hadhara azomewe kaa chizi halafu hadi anafikia hatua ya kuuliza mnanizomea mimi au huyu kiongozi niliyemsimamisha? Hivi vitu Ilibidi wasaidizi na Raisi waelewe mapema waviwekee mkakati pamoja na Raisi mwenyewe kabla ya kutembelea hilo eneo wajue kama kuna mzembe wamtimue wambadilishe kabla ya Raisi kutua pale badala ya Raisi kufika pale halafu anazomewa mfululizo yeye na watendaji wake wakati watendaji ndio wanasababisha mara ingine azomewe.

Ili ulinzi wa Raisi uwe imara unahitaji ushirikiano wa kila upande Raisi achape kazi vizuri,wasaidizi wake ateue wazuri wachapa kazi wazuri na walinzi wake na advance team zake ziwe nzuri za watu wenye akili sana na serious wenye kutoa feedback nzuri za ukweli na uhakika kuhusu utendaji wa serikali kila eneo.Kazi za advance team zisiwe kutafuta nani haipendi serikali au Raisi bali kiongozi gani nani hatekelezi kazi sawasawa na maagizo ya serikali anayefanya serikali na Raisi achukiwe na wananchi kwa utendaji mbovu.Serikali iache kuwa kali kwa wananchi iwe kali kwa watendaji wasiofikia malengo na viwango vinavyotakiwa na wananchi.Kwa kufanya hivyo ulinzi wa Raisi utakuwa imara zaidi.
 
Huyo chancellor aliyepita (Shroeder) aligoma pia kuishi kwenye nyumba mpya iliyojengwa kwa ajili ya chancellor akidai inastahili matajiri na kwamba yeye na mshahara wake hataweza kulipa kodi.
Kumbe wenzetu kiongozi analipa kodi kwenye nyumba ya serikali!
Hapa je inakuwaje viongozi wanalipia kodi za nyumba za serikali wanazo ishi?
 
"Ndiyo maana Raisi yeyote ambaye hutaka kuimarisha ulinzi wake kitu kimoja akifanyacho huwa ni kuwa mchapa kazi anayejali wananchi na huchagua wasaidizi wazuri wachapa kazi wazuri wanaosimamia maslahi ya wananchi ili wananchi wampende Raisi wao na wawe tayari kumlinda na kumtetea popote alipo"

Mkuu Netanyahu
nakubaliana nahili, pale tu tutakapokua na ideal world na ideal communities.

Kumbuka kwa nchi nyingi hasa zinazoendelea, kuna big interests chafu za mabilioni ya fedha ambazo kunakua na kakundi flani kadogo, ambacho often kanatumia mbinu chafu kumaintain utajiri na power. Na mara nyingi wanajenga a strong sense ya entitlement ya ya kumaintain power na mbinu za kuendeleza whatever utajiri wao haramu.

Ili rais afanye kazi ya umma, lazima awe tayari kuwavaa hawa watu maelites, HEAD ON... Hawa jamaa huwa hawa give up without a fight... inaweza kuwa just political fight but often inafikia kuwa physical.

Ndio maana nikasema, kama tunamtaka JMK awashughulikie mafisadi HEAD ON kama tunavyopiga kelele kila siku hapa. Basi lazma tukubali gharama za kuimarisha ulinzi wake. Hasa tunapokua tunaishi kwenye nchi ambayo morals zimekufa kila kona, rupia ndio zinadictate mambo.

Besides BMW, MERCEDES na AUDI wote wanacheza ligi moja in terms of prices, kama tofauti ni ndogo sana depending na options. Halafu muhimu, ni kujua specifications za hizo VIP cars za ikulu kabla ya kulaumu.

Labda niulize, kama wasingebadili na kuamua instead kuendelea na MERCEDES na kununua a new fleet ya special VIP MERCEDES tano. Bado tungekua na mjadala huu?.... maana cost ni almost ileile. Perfomance za magari zinakaribiana, detailed specifications hatunazo. I mean......
 
Mkuu hiyo ni bei gani hiyo?
Inaweza ikawa ghari sana kuliko zetu hizi?

Well...reinforcement ya security features ndio mzozo...kwa level ya rais wetu nadhani B6/B7 armor... kwa hiyo Audi, Benz au BMW zikishawekewa vikolombwezo vyote hivyo bei inakuwa karibia sawa tu. Au mnataka abeef up balloon ili kubana matumizi.

Angalia hii S 600 Guard
[media]http://www.youtube.com/watch?v=20RnP89GIv8[/media]
 
Angalia Comparison za hayo magari matatu(Audi,Benz na BMW).
[media]http://www.youtube.com/watch?v=OVNLV_WkO68[/media]
 
IKULU IMEBADILISHA MAGARI YA KUMLINDA RAIS KUFUATIA USHAURI MZURI ULIO TOLEWA NA MAMA YETU BAADA YA KUONA BMW ZINAVYO FAA KWENYE SHERHE YA KUTOA VIGORI KWA MFALME MSWATI. MAMA ALIONA HII KWENYE SHEREHE ALIYO HUDHURIA MWAKA JANA YA MSWATI KUCHAGUA KIGORI WA 13 (?) KUWA MKE WAKE.

USHAURI MZURI WA MAMA ULICHELEWA KUTEKELEZWA KWA SABABU MAALUM - ISIJE IKADHANIWA KUWA MUUNGWANA ANAIGA MFALME. HATA HIVYO MFALME ALISHANGAA SANA KUONA BADO TUNATUMIA MAGARI YA KURITHI ALIPOFANYA ZIARA YAKE YA SHUGHULI NYINGI NCHINI KWETU HIVI KARIBUNI.

PIA KUBADILISHA MAGARI KUMEWAPA WASAIDIZI WA MUUNGWANA MWANYA WA KUJIUZIA YALE MABENZI KWA BEI YA KUTUPA KAMA NYUMBA ZA OSTABEI.

Macinkus
 
Audi zinatumia engine ya VW. Hivyo haina tofauti na VW. Ni gari za kati ndiyo maana aliamua kutumia.
Aligoma kutumia benz au bmw akidai ni gari za kifahari kwa ajili ya watu wenye pesa.
Huyo chancellor aliyepita (Shroeder) aligoma pia kuishi kwenye nyumba mpya iliyojengwa kwa ajili ya chancellor akidai inastahili matajiri na kwamba yeye na mshahara wake hataweza kulipa kodi.

Mazee...sidhani kama Benz Ujerumani iko regarded kama ni gari ya kifahari maana taxi (cab) zao nyingi ni Benz. Kama mtu hujawahi kupanda Benz na ukapata bahati ya kwenda Ujerumani....basi kodi taxi na utaendeshwa kwenye Benz...
 
Ni kweli. Audi, BMW, Benz na VW zote ni za Ujerumani. Kwa hiyo taxi zao nyingi ni benzi, na zimetapakaa mpaka Uholanzi pia!
 
Sober argument yako nzuri.

Umenifanya nikarinie bubu na argument yako.Inanifanya kwa shingo upande nikubali ununuzi wa hayo magari.Labda niongezee.

Ulinzi wa Raisi ni kazi ya wananchi wote si kazi ya magari na ma-bouncer wale wanaotembea na Raisi pekee..Ndiyo maana Raisi akipendwa sana na wananchi Ulinzi huwa mdogo sana.Maana hakuna hitman wa hit and run fast aweza thubutu kujaribu kumshambulia Raisi iwe kwa jiwe au kombora.Raisi apendwaye sana na wananchi anakuwa ni high risk target kwa wazoefu wa hit and run maana waweza jikuta wananchi wampendao Raisi wao wanawakimbiza kama mbwa bila kujali silaha walizonazo wakijaribu ku-hit raisi wao mpendwa.

Ndiyo maana Raisi yeyote ambaye hutaka kuimarisha ulinzi wake kitu kimoja akifanyacho huwa ni kuwa mchapa kazi anayejali wananchi na huchagua wasaidizi wazuri wachapa kazi wazuri wanaosimamia maslahi ya wananchi ili wananchi wampende Raisi wao na wawe tayari kumlinda na kumtetea popote alipo.Ukiwachagua wasaidizi wabaya,wanafiki na wapotoshaji na wasiokuwa wachapa kazi ina maana taasisi ya Raisi itadharaulika na watu wahuni watataka kichwa cha Raisi na gharama za kumlinda zitaenda juu sana.Gharama za kumlinda Raisi asiyependwa na wananchi ni kubwa mno.Kwa ufupi ni hatari kumlinda raisi asiyependwa.Mlinzi hulali hupumziki na saa yoyote waweza jambishwa cheche na wananchi wasiompenda Raisi asiyesimamia maslahi yao.

Raisi Nyerere alikuwa kabla ya kutembelea mahali alikuwa anatuma advance team ya wasaidizi wake wa karibu muda mrefu kabla ya ziara zake.Lengo kuu la advance team hizo lilikuwa si kutathmini hali ya ulinzi na usalama wake tu kule aendako bali sehemu kubwa ilikuwa kutathmini utendaji wa watendaji aliowateua kule aujue kama utendaji wao unafanya apendwe au achukiwe na kuangalia kama kweli wanatekeleza kwa vitendo yale yaliyoagizwa.Akijua kuwa utendaji wao kule ni wa mashaka alikuwa akibadilisha uongozi kule kabla hajatembelea hapo aendapo.Akiwasili anaanza kucheka na kuwaambia wananchi nimewaletea kijana mwingine mchapa kazi hapa hivyo hasira za wananchi zinakuwa zimeisha afikapo kule na wananchi humshangilia mno.Sio wanashangilia hotuba hasa bali wanashangilia yale mabadiliko aliyofanya.

Kitendo cha Raisi kushambuliwa mfano na mawe kule Mbeya ni ishara tosha kuwa advance team za Kikwete zina walakini.Hazikutoa feedback nzuri ya watendaji kule au emotions za wananchi kuhusiana na utendaji wa Rasi.Si kitu tu cha kulaumu wananchi wa kule,polisi au walinzi wa msafara wa Kikwete.Yawezekana kabisa watendaji wa kule aliowateua Kikwete ni bogus hawakidhi matarajio ya wananchi hivyo wananchi wakaona walipize kisasi kwake.Naiomba serikali iwaachie huru wale waliorusha mawe iwashugulikie watendaji ambao hawakukidhi matarajio ya wananchi kiasi cha kufanya Raisi atupiwe mawe.

Sasa hivi advance team hivi kazi yao ni nini sasa hivi? Raisi hadi inafikia kwenye mkutano wa hadhara azomewe kaa chizi halafu hadi anafikia hatua ya kuuliza mnanizomea mimi au huyu kiongozi niliyemsimamisha? Hivi vitu Ilibidi wasaidizi na Raisi waelewe mapema waviwekee mkakati pamoja na Raisi mwenyewe kabla ya kutembelea hilo eneo wajue kama kuna mzembe wamtimue wambadilishe kabla ya Raisi kutua pale badala ya Raisi kufika pale halafu anazomewa mfululizo yeye na watendaji wake wakati watendaji ndio wanasababisha mara ingine azomewe.

Ili ulinzi wa Raisi uwe imara unahitaji ushirikiano wa kila upande Raisi achape kazi vizuri,wasaidizi wake ateue wazuri wachapa kazi wazuri na walinzi wake na advance team zake ziwe nzuri za watu wenye akili sana na serious wenye kutoa feedback nzuri za ukweli na uhakika kuhusu utendaji wa serikali kila eneo.Kazi za advance team zisiwe kutafuta nani haipendi serikali au Raisi bali kiongozi gani nani hatekelezi kazi sawasawa na maagizo ya serikali anayefanya serikali na Raisi achukiwe na wananchi kwa utendaji mbovu.Serikali iache kuwa kali kwa wananchi iwe kali kwa watendaji wasiofikia malengo na viwango vinavyotakiwa na wananchi.Kwa kufanya hivyo ulinzi wa Raisi utakuwa imara zaidi.

Natanyahu:

Nadharia yako sio kweli. Sokoine alikuwa mchapa kazi. Waziri mkuu wa Sweden Olof Palmer alikuwa mchapa kazi. Yule wa Israel pia alikuwa mchapakazi. JFK alikuwa mchapa kazi.

Anayefyatua risasi ni mtu mmoja na yeye anaweza akawa na sababu milioni za kumua rais.

Uchapakazi sio kinga.
 
Mazee...sidhani kama Benz Ujerumani iko regarded kama ni gari ya kifahari maana taxi (cab) zao nyingi ni Benz. Kama mtu hujawahi kupanda Benz na ukapata bahati ya kwenda Ujerumani....basi kodi taxi na utaendeshwa kwenye Benz...

Benzi ni gari la kifahari. Na Benzi ziko model nyingi. Hivyo ufahari unatokana na model.

Marekani, Tanzania, na nchi nyingi wanatumia magari ya zamani kama taxi.

Kuna nchi taxi ni sehemu ya utalii. Hiyo huwezi kuchukua gari kutoka junk yard na kulitumia katika biashara ya taxi. Na vilevile kutumia Benz kama taxi ni sehemu ya promotion ya magari.

Na kihistoria. Benz ilipoanza ni watu wachache na matajiri walioweza kununua magari. Hivyo biashara yao ilikuwa Taxi. Hivyo toka mwanzo wa magari, Benz ilitumika kama taxi.
 
kpleo.jpg
 
Ni mara ngapi umewahi kuona Cadillac DeVille taxi?

Ukienda Ujerumani unakuta karibu kila model ya Benz sedan ambayo ni taxi.....kama unabisha nenda mwenyewe ukajionee...hizo hizo taxi sehemu zingine watu wanaziona bab kubwa....hata US

Wajerumani wengi wana regard BMW na Porsche kuwa ndio gari za kifahari....
 
Nasikia BMW kama zile moja si chini ya mil 200!Alafu mnasema nchi hii maskini na hakuna udhamini wa 100% Mh...........................................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom