Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
KufuruKama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.
Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.
Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hawakudanganya, Ikulu siyo na wala haitakuwa wodi ya wagonjwa, ndiyo sababu iliyopelekea waseme yuko ofisini anachapa kazi! Mpaka Leo hakuna aliyekanusha ili waendelee kuwashikilia waliodanganya kuwa anaumwa wakati haumwi.Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.
Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.
Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kumbe amekufa kwa ajali sio..!! Sikufikiria km mpo mliokuwa mnaamin JPM alikuwa ofisin[emoji848]Hawakudanganya, Ikulu siyo na wala haitakuwa wodi ya wagonjwa, ndiyo sababu iliyopelekea waseme yuko ofisini anachapa kazi! Mpaka Leo hakuna aliyekanusha ili waendelee kuwashikilia waliodanganya kuwa anaumwa wakati haumwi.
Sijui kama umeelewa nilichiandika.Kumbe amekufa kwa ajali sio..!! Sikufikiria km mpo mliokuwa mnaamin JPM alikuwa ofisin[emoji848]
Naamini atakauwa mahala patakatifu sasaiv!Watolewe mahabusu watu waliowekwa na jpm au na wapambe wake kwa kisingizio cha uraisi wake.
Na kifupi ni kuwa baada ya kifo ni hukumu. Jamaa atakuwa yupo motoni sasa hivi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.
Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.
Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hiyo ilikuwa ni kampeini za uchaguzi tu; team Lowassa pia ilitakuiwa kutoa counterattack, lakini wajizimikia. Kampeini za uchaguzi zinatakiwa ziwe jino kwa jinoKama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.