Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Na huyo Nape ajiangalie sana,ajiulize wale wote waliomdhihaki Lowasa kwa maneno na vitendo kuhusu afya yake leo hii wako wapi? Ajiandae kuwafuata.
 
Nape alisema ukweli ingawa ukweli huo haukupaswa umhusishe mtu moja Kwa moja!!

Na mpaka sasa ukweli huo utaendelea kuwa hivyo!!

Mwandishi ameufanya huu ukweli kuwa Jambo la kisiasa akilini kwake!!
 
Nape alisema ukweli ingawa ukweli huo haukupaswa umhusishe mtu moja Kwa moja!!

Na mpaka sasa ukweli huo utaendelea kuwa hivyo!!

Mwandishi ameufanya huu ukweli kuwa Jambo la kisiasa akilini kwake!!
Muandishi ameufanya uliouita UKWELI kuwa jambo la Kisiasa Kama ambavyo watamkaji walivyolitamka Kisiasa wakati wa uchaguzi... Na kwa bahati mbaya wengi walitamka hayo kwa maneno na matendo na kwa kejeli za hali ya juu. TUVUMILIANE TU
 
Ulitakiwa kumwambia hayo maneno jiwe.
JPM ameshatangulia kwenye hukumu ya haki. Huko matendo yake yatamfuata.

Sisi tuliobaki tuna nafasi ya kufanya mambo kwa namna tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…