Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.

Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
Na huyo Nape ajiangalie sana,ajiulize wale wote waliomdhihaki Lowasa kwa maneno na vitendo kuhusu afya yake leo hii wako wapi? Ajiandae kuwafuata.
 
.
FB_IMG_1612012763868.jpg
 
Nape alisema ukweli ingawa ukweli huo haukupaswa umhusishe mtu moja Kwa moja!!

Na mpaka sasa ukweli huo utaendelea kuwa hivyo!!

Mwandishi ameufanya huu ukweli kuwa Jambo la kisiasa akilini kwake!!
 
Nape alisema ukweli ingawa ukweli huo haukupaswa umhusishe mtu moja Kwa moja!!

Na mpaka sasa ukweli huo utaendelea kuwa hivyo!!

Mwandishi ameufanya huu ukweli kuwa Jambo la kisiasa akilini kwake!!
Muandishi ameufanya uliouita UKWELI kuwa jambo la Kisiasa Kama ambavyo watamkaji walivyolitamka Kisiasa wakati wa uchaguzi... Na kwa bahati mbaya wengi walitamka hayo kwa maneno na matendo na kwa kejeli za hali ya juu. TUVUMILIANE TU
 
Back
Top Bottom