mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti
Bora tuchague Rais Mzee ili muda wake ukiisha akalee wajukuu kuliko kumchagua Rais kijana na muda wake ukiisha atataka kujiongezea mda huku akijiona bado ni kijana.
Ndiyo mchango wake huo kwa taifa kwa siku ya jana jamani.Ndiyo tatizo la kupeleka wabunge wenye IQ ndogo bungeni.

lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
Mnaonekana kugopa kivuli cha dr slaa,vipi akiingia madarakani si mtakunya mkaa?.dr ndiye rais wako kuanzia octoba.
Kama nkurunzinza
Dr Slaa anaumwa ugonjwa mbaya sana kumpa Ikulu ni kuhatarisha amani nchini kwani anaweza kuleta taharuki isio na ulazima.
...KWANI TEZIDUME aka BUSHA sio ugonjwaaa??? mbona mwenye kaugonjwa hako anaishi magogoni bila sheeedahmh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti
Na kijana wa 'TEZI DUME'
mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti
mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti
lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
.
itungwe sheria kwa mgombea ubenge walau kwa kiwango cha chini awe amefika form two.
.
Kufikiria slaa kua rais ni kuishiwa fikra.
Kwa nini?