Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti

Lusinde elimu yake ya std 7 hakutakiwa kwenda bungeni,kwani ndio kumezidisha ukichaa wake husio tibika
 
Ndiyo mchango wake huo kwa taifa kwa siku ya jana jamani.Ndiyo tatizo la kupeleka wabunge wenye IQ ndogo bungeni.

Huyu ndiye kachukua nafasi ya mbunge mburudishaji wa magamba baada ya komba
 
Ndiyo mchango wake huo kwa taifa kwa siku ya jana jamani.Ndiyo tatizo la kupeleka wabunge wenye IQ ndogo bungeni.

.
itungwe sheria kwa mgombea ubenge walau kwa kiwango cha chini awe amefika form two.
.
 
Kwa Lusinde Wala Sioni Hata Mhariri Wa Gazeti Kwanini Alifanya Kama Habari Kwani Huyo Mbunge Hata Siku Moja Huwa Hachangi Hoja Ya Mezani Siku Zote Ni Mipasho Tu
 
mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti
...KWANI TEZIDUME aka BUSHA sio ugonjwaaa??? mbona mwenye kaugonjwa hako anaishi magogoni bila sheeedah
 
mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti

Lusinde ni vyema akarejea kauli ya marehemu KOMBA aliyotoa kwa kejeli na dhihaka kwenye BMK dhidi ya Mheshimiwa Mzee Warioba.
 
mh lusinde amesema ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane
chanzo RFA magazeti

Hakusema kuhusu afya ya mpiga miereka hadharani? Au ripoti yake iko kwa waganga wa kienyeji?
 
lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki

Kwani kazi za rais ni pamoja na kukimbia marathon? Kinachotakiwa kwa kiasi kikubwa ni uwezo wa kiakili na utendaji; afya njema ikiwa ni pamoja na afya ya akili. Ulemavu wa mkono, ngozi, macho au mguu haumfanyi mtu ashindwe kutekeleza majukumu ya rais.
 
Lusinde hajitambui kuwa ni mgonjwa wa AKILI. Hakika huyo jamaa ni mgonjwa.
 
Ni hatari hoja nyepesi kuwa suluhu la matatizo makubwa kama shilingi kushuka thamani,umaskini uliokithiri,madawa ya kulevya,ufisadi,maradhi,ujinga uliotamalaki n.k.
 
Back
Top Bottom