Aliyeamua ijengwe hapo ni Nyerere au Magufuri?
 
wamekufa marais 3, huyo mbwa wenu ana nini akumbukwe. Amesahaulika baba wa Taifa sembuse jitu katili lililoongoza miaka 5. Hakuna genge pumbavu nchi hii km la kisukuma.
 
....CHAWA....
 
Kwani angetajwa ingesaidia nini? Hili tatizo alilianzisha mwendazake mwenyewe. Ni wakati wake miradi yote ilibinafsishwa kwa jina lake kana kwamba alijenga kwa pesa zake. Kuhusu ikulu Dodoma, nafikiri wa kupongezwa ni watanzania kwa kutoa kodi na kupatikana pesa za kujenga nyumba ya taifa. Haya mengine ni ujinga wetu wa kuwaabudu watu na kufikiri kwamba wanayofanya kulingana na ajira tuliyowapa wanatufanyia hisana. Ujinga kweli kweli.
 
UDOM imejengwa kwa shinikizo la IMF na wakaikopesha nchi. Sio kwamba serikali ilikuwa na huo mkakati; halafu na upigaji juu budget ikabidi iongezwe mara dufu.

Ngedere wewe na familia yako, uwezi kujibu hoja mpaka utakane watu.
 
wamekufa marais 3, huyo mbwa wenu ana nini akumbukwe. Amesahaulika baba wa Taifa sembuse jitu katili lililoongoza miaka 5. Hakuna genge pumbavu nchi hii km la kisukuma.
Mbona unaniaibisha Kwa kuonesha ujinga wako hadharani?
 
Unatumia nguvu mno. Kama vipi nenda Chattle kabisa.
Kenge wewe
 
Acheni ugomvi, official statement imesema wazi Mh. Samia alipoingia madarakani Ikulu ilikuwa imefika asilimia 70...Sasa ligi ya nini?
 
[emoji23][emoji23] Mabeberu wapi hao watumikiwe na mjinga hivi. Labda mabeberu ya mbuzi.
 
Huu nao ni ujuha mpya tumeuona kwenye siasa za Tanzania. Juhudi yote aliyoifanya baba yule na kila mtu aliona leo hata kumtaja mmeogopa. Najua kundi kubwa jf hawampendi lakini sio kwa hatua ya kuhodhi hata mazuri aliyoyatenda . Mbona alipokuwa hai mlijifanya kumsifu sana hadi mliboa. Huenda hata madaraka mlimnyang'anya nyie sio bure.

By the way mlifanya nyie pongezi kwenu. Mbona hatuoni miradi mipya zaidi ya madarasa ya UVICO, maridhiano na trilioni za CAG?
Mnashindweje kulipenda taifa linalotajirisha familia zenu?

By the way endeleeni kumkandamiza aliyekufa wanyonge tutajibu
 
Soma Zaburi 49.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…