KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Watakufa midomo waziDunia nzima inajua lile shetani lenu lilikufa kifo cha aibu. Wazazi wangu hawawezi kufa kifo cha kizembe namna ile ht kama umri umeenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakufa midomo waziDunia nzima inajua lile shetani lenu lilikufa kifo cha aibu. Wazazi wangu hawawezi kufa kifo cha kizembe namna ile ht kama umri umeenda.
🙏🙏Hapa tunapoteza maana ya uhalisia lazima utamke. Kuna baba alileta wazo akaanza kujenga lakini hakufanikiwa kumaliza ndipo mabuti yakamkuta,Mimi kiongozi wa familia nilichukua jukumu la kumalizia kazi iliyanzwa. Na baba,
Kwa kesi ya ujenzi wa ikulu ya dodoma,je kikwete alichangia pakubwa kuliko magufuli.?
Kama lilivyokufa li baba lako limekufa mdomo wazi😂😂😂
Haukupa mshahara wala madaraja lakini alizuia mifumuko ya bei mchele ulikuwa 1600 lakini sasa 4000 kupanda mshahara huku vitu vinapanda bei ni sawa nakujaza maji kwenye ndoo inayovujaa halafu Magufuli hakumsema mtu aliwatesa wavivu wenye kupiga midomo kwenye siasa kuliko kufanya kaziAlitunyima haki yetu ya kupandishwa mishahara na madaraja for 6yrs. Hii haiwezi kuwa tabia ya binadamu kupenda raia wake wateseke.
Alilazimisha watu wamchague mtu anayemtaka yeye na kuahidi kutunyima huduma (ambazo ni haki yetu) ikiwa tu hatutomchagua anayemtaka yeye.
Hizi sio tabia za kiungwana ni tabia za kishetani!!
Nafikiri hatupishani Sana mkuu jpm alifanya kazi kubwa Sana katika hili sikatai na anastahiri heshima yake kwa nafasi yake juu ya kazi yakeHapa tunapoteza maana ya uhalisia lazima utamke. Kuna baba alileta wazo akaanza kujenga lakini hakufanikiwa kumaliza ndipo mabuti yakamkuta,Mimi kiongozi wa familia nilichukua jukumu la kumalizia kazi iliyanzwa. Na baba,
Kwa kesi ya ujenzi wa ikulu ya dodoma,je kikwete alichangia pakubwa kuliko magufuli.?
Bora lilivyokufilia mbali likateseke na lenyewe huko.Haukupa mshahara wala madaraja lakini alizuia mifumuko ya bei mchele ulikuwa 1600 lakini sasa 4000 kupanda mshahara huku vitu vinapanda bei ni sawa nakujaza maji kwenye ndoo inayovujaa halafu Magufuli hakumsema mtu aliwatesa wavivu wenye kupiga midomo kwenye siasa kuliko kufanya kazi
Hekima ni muhimu,hasa km mlikuwa mnafanya kazi pamoja.Nafikiri hatupishani Sana mkuu jpm alifanya kazi kubwa Sana katika hili sikatai na anastahiri heshima yake kwa nafasi yake juu ya kazi yake
Kitu ambacho Mimi napingana nacho nipale ambapo unakuta mtu anatumia nguvu kubwa kuhakikisha mtawara aliyepo madarakani Sasa hivi anaonekana hakuna anacho kifanya Yani hastahiri kuwa pale
Wakati huo huo mtawara huyo anajitahidi kufanya kazi kwa bidii kuhakikisha Yale yaliyo kuwa ya meanzishwa na mtangulizi wake yanakamilishwa lakini hata Yale aliyo yaanzisha yeye Yana kamilika bila kuya athili Yale ya mtangulizi wake
Sasa Samia anapo kamilisha lengo la magufuri kwa inchi unakuta mtu kapost humu mfano..
HATIMAYE UJENZI WA DARAJA LA JPM MSOMA WA KAMILIKA JPM ALIKUWA RAISI KWELI KWELI"
kwa mtazamo wangu ilipaswa iandikwe hivi HATIMAYE UJENZI WA DARAJA LA JPM MSOMA WA KAMILISHWA NA SSH,SAMIA ANASTAHILI PONGEZI KWA KUIMALIZIA MIRADI ILIYO KUWA IMEANZISHWA NA JPM
kwa mtazamo wangu kufanya hivi kutampa motisha SSH ya kufanya kazi kwa bidii lakini pia hakuto athili heshima ya JPM kwa taifa lake
Sasa Jambo ambalo naliona ni lakitoto na Galina maana nipale ambapo baadhi ya watu wanampa sifa JPM huku nyuma wanamsahau yule anaye simamia Yale yaliyo anzishwa na jpm Sasa huu sio uungwana mkuu🙏🙏
Na kwanini hawakulitaja Ili maisha yaendeleeHivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?