Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?
Mnaumia wenyewe tukilinanga hilo liMunguMtu lenu. Mbona mtakoma, km vp rudini kwenu Burundi
Kwani wewe hilo li baba lako linavyooza huko kaburini uumii au kwa kuwa lilikuwa libakaji la ukoo wenu
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kujaribu kumficha Late Magufuli but ukweli wanaujua wananchi waliokuwa wanateseka kabla hajaongoza nchi.

Hawa hata kama atafichwa vipi still wanaujua umuhimu wake,hatutegemei mtu kama zuhra au yeyote yule aliyeko kwenye circle ya serikali ya leo amtaje Magufuli kwa zuri maana siye anayemlipa.

NB;mimi siyo mwanasiasa ila naongea uhalisia ulivyo.
Nakukumbusha tu, watumishi wote wa serikali wanalipwa na kodi za watanzania na siyo Samia kama ulivyoandika hapo juu.
 
Magufuli ndiye mwanzilishi hata Mama Samia kwenye hotuba yake alisema hilo kuwa yeye aliendeleza.
 
Nakukumbusha tu, watumishi wote wa serikali wanalipwa na kodi za watanzania na siyo Samia kama ulivyoandika hapo juu.
Mbona hampandishiwi mishahara na Watanzania?

Ninyi si ndiyo huwa mnamlalamikia huyo mama kwamba maisha ni magumu awaongezee mshahara!
 
Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.

Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

wa kupewa credits hapo ni wawili tu,kwanza aliyetoa wazo la kuhamishia makao makuu dodoma na wa pili aliye implement huo.
 
Kwani wewe hilo li baba lako linavyooza huko kaburini uumii au kwa kuwa lilikuwa libakaji la ukoo wenu
Mi sipendi kabisa wazazi wangu wafe kifo kibaya kama cha shetani lenu na wenyewe wanajua kabisa shetani yule alivyoyaathiri maisha yetu kwa kipindi kifupi tu
 
Mi sipendi kabisa wazazi wangu wafe kifo kibaya kama cha shetani lenu na wenyewe wanajua kabisa shetani yule alivyoyaathiri maisha yetu kwa kipindi kifupi tu
Unaweza kutuambia vigezo ulivyotumia kumwita binadamu mwenzio Shetani usihukumu nawe utahukumiwa huna kipimo cha kupima madhambi ya mtu
 
Hoja kubwa ni sio kuwagawa viongozi Ila kukumbuka waliofanya,
Kwani ukimtaja kuwa alianza Nyerere akaja mwingi akaja mkapa akaja kikwete halafu akaja magufuli na samia akamalizia kuna shida gani au unapungukiwa na nini?
Usipomtaja haupungukiwi Wala kuongezeka kitu Ila wenye akili watajiuLIZA.
Kuendeleza uadui kwa mtu ambaye hawezi kukujibu kashalala ni matumizi mabaya ya ubongo,la sivyo unaamua kusema hili jengo wazo limeanza na baba wa taifa halafu Marais waliofuata wakifanya kadri ya nafasi zao na aliyeko madarakani kamalizia
Sawa lakini pia kumsifia mtu ambaye hawezi kuipokea sifa yako kwake nimatumizi mabaya ya ubongo pia

Labda nikuulize tuu kwamba kwamfano wewe baba yako alianzisha ujenzi wa nyumba kwa bahati mbaya akafikwa na umauti akiwa kaanzisha msingi tu

Baadae wewe ukapambana kuwahamasisha wana family kujitoa kwa michango na nguvu kazi pesa zile ukazitumia kwenye ujenzi huo hatimaye ukakamilisha ujenzi wa nyumba hiyo

Baada ya kukamilisha anakuja mwanafamilia mmoja na kutamka maneno haya mbele yako...

TUNA PASWA KUMPONGEZA BABA YETU MAREHEMU KWA UJENZI WA HIINYUMBA HAKIKA AMEFANYA KAZI KUBWA MNOO NA ANASTAHILI HESHIMA NA PONGEZI MUNGU AMLAZE MAHARI PEMA PEPONI..

niambie mkuu utajiskiaje katika hili??
 
Mi sipendi kabisa wazazi wangu wafe kifo kibaya kama cha shetani lenu na wenyewe wanajua kabisa shetani yule alivyoyaathiri maisha yetu kwa kipindi kifupi tu
🤣🤣🤣 mbona baba yako kafa mdomo wazi na anajinykia huko kaoza
 
Sawa lakini pia kumsifia mtu ambaye hawezi kuipokea sifa yako kwake nimatumizi mabaya ya ubongo pia

Labda nikuulize tuu kwamba kwamfano wewe baba yako alianzisha ujenzi wa nyumba kwa bahati mbaya akafikwa na umauti akiwa kaanzisha msingi tu

Baadae wewe ukapambana kuwahamasisha wana family kujitoa kwa michango na nguvu kazi pesa zile ukazitumia kwenye ujenzi huo hatimaye ukakamilisha ujenzi wa nyumba hiyo

Baada ya kukamilisha anakuja mwanafamilia mmoja na kutamka maneno haya mbele yako...

TUNA PASWA KUMPONGEZA BABA YETU MAREHEMU KWA UJENZI WA HIINYUMBA HAKIKA AMEFANYA KAZI KUBWA MNOO NA ANASTAHILI HESHIMA NA PONGEZI MUNGU AMLAZE MAHARI PEMA PEPONI..

niambie mkuu utajiskiaje katika hili??
Hapa tunapoteza maana ya uhalisia lazima utamke. Kuna baba alileta wazo akaanza kujenga lakini hakufanikiwa kumaliza ndipo mabuti yakamkuta,Mimi kiongozi wa familia nilichukua jukumu la kumalizia kazi iliyanzwa. Na baba,
Kwa kesi ya ujenzi wa ikulu ya dodoma,je kikwete alichangia pakubwa kuliko magufuli.?
 
Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.

Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

Mh. Rais wetu, watendaji wote wa serikali, chama na raia wote wa Africa kwa ujumla wake!
 
Unaweza kutuambia vigezo ulivyotumia kumwita binadamu mwenzio Shetani usihukumu nawe utahukumiwa huna kipimo cha kupima madhambi ya mtu
Kipimo ni hapa hapa duniani best.
Matendo ya kishetani mbona yako wazi sana na hasa yakifanywa na mtu tuliyempa dhamana ya kutuongoza.
Yule ni shetani halisi kabisa bila hata chenga. Na wengine sasa hivi wanamwabudia.
 
Matendo gani aliyoyafanya hapa duniani embu tuandikie na ushahidi maana unaweza kumhukumu kwa majungu kwa vile una chuki nae
 
Matendo gani aliyoyafanya hapa duniani embu tuandikie na ushahidi maana unaweza kumhukumu kwa majungu kwa vile una chuki nae
Alitunyima haki yetu ya kupandishwa mishahara na madaraja for 6yrs. Hii haiwezi kuwa tabia ya binadamu kupenda raia wake wateseke.
Alilazimisha watu wamchague mtu anayemtaka yeye na kuahidi kutunyima huduma (ambazo ni haki yetu) ikiwa tu hatutomchagua anayemtaka yeye.
Hizi sio tabia za kiungwana ni tabia za kishetani!!
 
Ukitaka kujua nani anastahili ujengwaji wa ikulu ya Dodoma, weka kando 2023 isukume mbali halafu rudi nyuma mwaka 2015 wakati huo serikali yote ipo Dodoma, piga picha rais anatangaza taasisi zote za serikali kuhamia Dodoma, halafu weka masikio yako vizuri usikie tangazo lake lilikuwa very clear, "kufikakia mwezi wa 7 taasisi zote ziwe zimehamia Dodoma,

Si kwa kupanga bali katika ofisi zao, yaazime masikio kusikia jinsi watu walivyo ondoka dar bila kupenda na wizara zilivyotawanyika kwenda huko, au hujisikia magari ya jeshi kubeba mizigo ya taasisi?

Haya sogeza Cd mbele kidogo unasikia juu ya kutangazwa kwa kuanza ujenzi wa ikulu au hukusikia juu ya wale vijana wa jkt kupatiwa kazi? Hukusikia kuwa blocks ziliongezeka? Ila muundo ukabaki kama wa dar? Sogeza mbele kidogo kama hukusikii ikisema kuwa ujenzi umefikia 60%+

Sasa rudi sasa 2023, weka hyo clip linganisha utajua kuwa ni mapacha waliokatika tumbo moja wasiofanana,. Na kama utakataa muulize Dr wa binadamu mwenye taaluma ya kinamama na watt atakwambia.. itoshe kusema docimental ingewasilishwa bila kutaja ikulu ingekuwa imekosewa na ikngekosa crdt ila kwa kuwa imetaja ikulu[emoji16][emoji16] akili ni mali kila mtu ana zake

B
 
Kama lilivyokufa li baba lako limekufa mdomo wazi😂😂😂
Dunia nzima inajua lile shetani lenu lilikufa kifo cha aibu. Wazazi wangu hawawezi kufa kifo cha kizembe namna ile ht kama umri umeenda.
 
Back
Top Bottom