Mno!!Jiwe ameondolewa kwenye orodha ya watu waliowahi kuwa marais wa nchi hii kwasabb aliinajisi nchi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno!!Jiwe ameondolewa kwenye orodha ya watu waliowahi kuwa marais wa nchi hii kwasabb aliinajisi nchi hii.
Haya tutakisupport Mkuu,hongera kwa kuanzisha ki Channel chako
Kati ya baba na mama yako mzazi credit tumpe nani?Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
👍👍👍Haya tutakisupport Mkuu,hongera kwa kuanzisha ki Channel chako
Lowassa alishawahi kusema usifanye urafiki na mtu wa pwani. Ni wanafiki sana na J.K.M anelithibisha sana hili kwa Lowasa na hata kwa Magufuli.Mimi nilikuwa na shukran na Kikwete, uliza wakongwe wa JF ilikuwa patachimbika hapa ukimtukana J.K, kila zama na kitabu chake.
Muda wake umeisha na yeye alikuwa na mazuri na mabaya yake fine ndio siasa za africa kutesa kwa zamu.
Umeshamaliza muda wako pumzika basi Msoga waache na wenzako waendeshe nchi wanavyojua wao, walete maendeleo wanavyojua wao.
Nilipoona sio muungwana na mtu mwenye tabia za narcissistic kila saa anataka atokee kwenye media ndipo nilipoanza kumuona wa ovyo. Ndugu watu wakikupigia picha nyumba aliyo mnunulia binti yake Mwanaisha na mumewe Albert Marwa nje ya London ndio utajua huyo mtu ana mihela.
Waafrica wanaelewa ndio culture yetu watu wakipata madaraka ndio maana usikii malalamiko, tosheka basi. Ata Lowassa’s wanawashinda Regina Lowassa ubunge viti maalum aliwaambia CDM kuna mtu ana stahili hiyo nafasi kushinda mimi mpeni; yeye yupo sawa. Sio Kikwete’s baba mtu ana self grandiose syndrome kutwa kwenye media mimi hivi mimi vile, enzi zangu sijui ilikuwa hivi, ndio nikaamua kufanya abc kila siku tumechoka story zake; mama mtu tamaa ubunge wa nini Salma Kikwete.
Funny enough ni mzazi mzuri watoto zao wote wanajitegemea wenyewe, sasa nini tena anataka zaidi ya kuacha Tanzania iende yenyewe na vyombo vyake; yeye kwake no anadhani anajua what’s best for Tanzania kushinda mwingine yeyote hapo ndipo nilipoanza kumuona huyu mzee kumbe hana maana.
Usisubir mgonjwa awe marehem ndo ukumbuke hospital , wanachokifanya kinaondoa morale ya waliopo kwenye system kujituma maana wanaamin ukwel unaeza fichwa na wachache so hizi attitude za hawa wanaopindsha ukwel kwa niaba ya mioyo yao ni sumu kwa wanaobakia ktk system maana watapambania matumbo yao wakiamin hakuna legacy hapa tz , angalia USA hata uchukiwe ila hakuna mtu anaeza zuia sifa zako kutangazwa , hicho ndo tunadai watangaze ukwel sio kisa kumsifia JPM ila iwape morale wale wanaofikiria kuiba wajiulize na wao watafanya nn ili tuwakumbuke TUACHE AKILI ZA KIMSUKULE HLF BAADAE TUNASINGIZIA MABEBERU WKT TUNASHUSHANA MORALE WENYEWE , KILA MTU ANAPENDA JINA LAKE LIBAKIE SASA TUTAAMINIJE KAMA TUNAWAONA WALIOTANGULIWA HAWAPEW SIFA ZAO ?Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Ndio hata baba yako alishakufa na ni mzoga ananuka huko kaburiniHiyo ndiyo tabia ya mungu wenu magufuli sikulaumu, lakini ujuwe keshakufa na harudi tena
Mzee chuki yako haina faida kwa taifa , unaichukia WEST eti inakufanya maskin wkt unaweka chuki mbele kwenye vitu vdg tu , Unaezaj mtaja Kikwete , ukamuacha aliwafukuza wabunge dar waende dodoma ?unaezaj mtaja kikwete alikuwa anaish magogoni na kumsahau alieanzisha safari ya kuhamia dodoma ? ifike muda mjue hzi chuki zenu ndio zinafanya viongoz wajipimie maana wanaona mijitu yenyew haina shukran bora wale wasepe tu mtajijua wenyewNdio imejengwa na Samia kwa sababu yeye ndo ameikamilisha kuijenga.
Kwa hata huyo JPM si alikuta miradi iliyo anzishwa na kikwete yeye akaja kuimalizia akaita ni ya kwake?
Ukabila mnaanzisha kimya kimya , mm ni mfipa sijui na wasukuma naingiaje ila nakemea udanganyif huo , hii nchi vichaa na matomaso mpo wengi , mtu anaeza badili ukwel kisa kujifuraisha ww ndo unamshabikia , subir yakukute ndo utaelewa kwann wenzio wanakemea .Ukwel unajenga morale hata kwa wengine kufanya jambo wakiamin watakumbukwa ila kwa hii tutegemee wezi wengi sana , hata hao wanaomdanganya SSH washaona hapa ni kupiga na kusepa nchi haina fadhira hii , rais mwehu na wananchi wake wehu kutwa kusema mama anaupiga mwingiSukuma Gang mnapata taabu sana. Hamjui mpambane na nani. Mpambane na CCM/Samia au Chadema.
Mnapigwa pote pote
Ikulu ya chamwino anaestahili pewa heshima ni mwenye nchi wa Jmt maana pesa zao ndo zimejenga ila kama yupo kiongozi ametoa pesa yake mfukoni kujenga basi apewe sifaZuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Ndio dunia inatuita nyani , huwa waafrika hatuoni athari ya tunayoyafanya , bara la afrika linauawa na waafrika wenyew , ona sasa hv watu hawataki kumpongeza mtu alionesha nia ya dhati kwa vitendo na akahamia dodoma kbs , ila leo wanapeana sifa za kijnga , ndio maana hata huyo SSH hajali lolote kuhusu watz maana anaona akili zenu hamna fadhira , na mm nasema SSH acha nchi inyonywe tu maana watz wenyew hawajui wanataka nn , swala dogo la kumpa mtu heshima anastahiri tena ingekuwa motivation kwa vizaz vya sasa hata baadae kupambana kuipigania nchi ili waache legacyMnateseka nyie misukule.
Kwani nyie wafuasi wake walinda legacy mkimtaja haitoshi mpk mlazimishie na wengine kumtaja!?
Sion cha kufurahisha hapo , huez ikomoa maiti ila unaua spirit ya upambanaj kwa waliobakia , maana hakuna kichaa kwamba ukidanganya hatoelewa umepindisha ukwel , kinachofuta ni watu kujali matumbo yaoKunywa dawa ya panya ukalitaje wewe lile liuwaji huko kuzimu liliko [emoji12][emoji12][emoji12]
🤣🤣🤣 kwani wewe hilo baba lako ulitamani life mapema?Yaani natamani kama Mungu asingeliuwa mapema lile shetani lenu la Chato. Angelipoozesha mwili tu like linaona live tunavyolinanga
Watanzania hawana shukrani! Hata Kiongozi wetu Raisi mustaafu Kikwete, katika hotuba yake wakati wa kufungua Ikulu - hakumtaja Dr Magufuli kwa jina lake! Aliishia kusema "awamu ya tano". Sijui anaogopa nini!Kikwete aliacha jengo gani la serikali kuu Dodoma unalolijua wewe, zaidi ya mradi wake wa kitapeli akishirikiana na Rostam kuwajengea CCM jengo la mkutano at overprice.
Muwe na shukran watanzania hizo ndio laana zenyewe kutoka kwa mungu; halafu mnashangaa umaskini aushi na wala ampati viongozi wenye busara bali majizi tu kila siku.
Leta ushahidi , mlimuua Ghadaf mkimuita ni dikteta leo mnajuta , lin mtaanza kuish maisha kwa kutumia facts na sio umbeya na udaku ?Lile liuwaji lilikuwa likiwaibia watu pesa bank kutaka kujenga Chato Airport
Mkiitwa nyan msinune , huwa hamuoni mbele muda wote vichwa vinaangalia nyuma , hii kitu inaenda kuua morali ya kujitoa kwa watumishi wetu wa umma , malipo ya ujinga ni aibu , leo mnacheka ila kesho mtanuna , kiongoz mjinga haez kukufuraisha kila siku , siku tunazihesabu mtarudi kweny vitabu kuweka sikukuu ya huyo marehem , kiongoz bora haez futwa kwenye historia milele , walijaribu kumficha Mandela ila baadae walimpa haki yake pia watajaribu sana ila technology inaacha kumbukumb hata wajukuu wako watakuja kushangaa kutokea kwa babu mwehu , kwamba aliipinga sahihi kwake na kuwafurahia mashetani bila sababu za msingi kisa aliruhusiwa kuwa mwizi watasema kwa aibu kumbe babu alipenda wizi. KIONGOZ MJINGA HAEZI KUKUFURAHISH KILA SIKU , USIWE TOMASO JITOE GIZANI NJOO HADHARANI UONE TUNAPOELEKEA TOFAUTI NA MWELEKEO WA DUNIA YA KILEO , SPIKA AKIONESHA MSIMAMO WAKE JUU YA MIKOPO MUHIMILI WA SERIKALI UNAMSHAMBULIA , MTU ANAEZA MSHAMBULIA SPIKA BUNGE JIULIZE WW KIGARAGOSI UPO SALAMA KWELI ?Wako kwenye mateso, wana wakati mgumu sana mana lile shetani halirudi tena nao hawaamini
Miaka yote hiyo tangu 1977 kwann pesa zenu hazikufanya kazi hiyoIkulu ya chamwino anaestahili pewa heshima ni mwenye nchi wa Jmt maana pesa zao ndo zimejenga ila kama yupo kiongozi ametoa pesa yake mfukoni kujenga basi apewe sifa
JPM 💯 Kikwete 0, Nyerere 50%Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.