Anajenga mradi wa Tilioni 96 sembuse hako kaikulu 😁😁

Angekuwa Dhaifu na hawezi si angeshashindwa Sasa kukamilisha kwani Dhalimu alicha pesa ya ujenzi? 🤪🤪

Jiwe alihangaika kuanzisha bwawa mwakani SSH anawasha kitufe Cha umeme,hapo ni chini ya miaka 4 Kila kitu tayari

Jiwe alikuwa Dhaifu sana yaani Hadi madarasa yalimshinda akawa anajifichia kwenye tumiradi huto unayoita Cha kiume 😁😁

Samia anawaonesha kwamba hakuna mradi wa kiume hapo ni uwezo wenu mdogo,she is doing all that with many many others including offering employment ambazo Jiwe alishindwa Kwa visingizio vya Sgr,bwawa na blaa blaa kama hizo 🤣🤣

Sukuma gang na yule Dhalimu mlikuwa mumeaminisha mbumbumbu wenu kwamba what you are doing is exceptional no one else can do Sasa Samia amewaonyesha hivyo ni vitu vidogo sana 😁😁
 
[emoji1787]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Safi kabisa, mtenda hutendwa. Magufuli akiwa hai alikuwa anawaponda watangulizi wake wote kuwa hawakufanya lolote. Sasa ngoja na yeye afunikwe tu hata huko kuzimu aliko
Unajua kuzimu hakujai. Wengine walikuwa wanajiandaa kuwa marais. Na kusaini kwa wino mwekundu madocument ya kazi ya uraisi. Sasa hivi nao wanasaini kuzimu.
Tusicheke sana kufa maana hakuna anayekwepa cheo hicho kikubwa cha mwanadamu
 
MAUSHUNGI akitaka afanikiwe aachane na akina CHEKIBOBU KIKWETE. She will do wonders.

Akina CHEKIBOBU KIKWETE ni FAILURES walitumia urais wao kuzurura angani na kukwapua tembo.

Yes, Maushungi is doing good so far. Ajira na miradi mbalimbali, EXCELLENT.

Lakini lile GENGE CHAFU la akina CHEKIBOBU KIKWETE linastahili kupumzishwa ili MAUSHUNGI afanye vyema zaidi.
 
Hawezi kufuata ma failures kama nyie,
Mlitaka kuaminisha mbumbumbu wenzenu kwamba mnafanya kitu spesho hakiwezi fanywa na mwingine 😁😁

Sada mumeumbuka na historia imeanfika jina la SSH.
 
Hawezi kufuata ma failures kama nyie,
Mlitaka kuaminisha mbumbumbu wenzenu kwamba mnafanya kitu spesho hakiwezi fanywa na mwingine [emoji16][emoji16]

Sada mumeumbuka na historia imeanfika jina la SSH.
I give credit where is due. Mimi sio mfuasi wa uchawa uchawa kama nyie vikaragosi vya MAUSHUNGI.

Mzee wa chato aliweka nia, akajenga ikulu, kisha samia akaimalizia. Those are called APPARENT FACTS.

Nyie vikaragosi wa MAUSHUNGI hamko tayari kuzikubali hizi facts kwa sababu zinamdhoofisha anaonekana MDEBWEDO.

Ndio maana hata yule mfalme wenu wa msoga CHEKIBOBU KIKWETE na yeye anajipenyeza ANADOEA maendeleo ya nchi bila kuchangia lolote ili angalau ajitutumue kidogo baada ya kupokea kichapo kizito kwa miaka sita ya JPM [emoji16]

Haya ni MAIGIZO YA UCHEKIBOBU. The sooner you admit the facts, the better.
 

Mada ya Ikulu, ila unaiongelea CHADEMA. CHADEMA inakuteaa Sana.
 
Ndio imejengwa na Samia kwa sababu yeye ndo ameikamilisha kuijenga.

Kwa hata huyo JPM si alikuta miradi iliyo anzishwa na kikwete yeye akaja kuimalizia akaita ni ya kwake?

Watu wanataka credibility pia kwa jpm sababu hakukabidhi iyo mirad kwamba amefikia apo ni amekufa, huenda angekuepo angeweza kuifanya zaidi ya apo naye ndo mwasisi baada ya nyerere alikua na wazo ye ndo amekuja kuibua maana wa hapo katikati hawakuipa kipaumbere kabisa ila ye aliiona ya maana na kuiwekea mkazo na kipaumbere licha ya kuonekana mwehu kwenye maono yake leo hii wanapora credit zote wanazivaa wao pekeyao sio sawa na wala hapunguzi kitu kukubali kutoa credit kwa alieanzisha.
 
imejengwa kwa kodi za wananchi na siyo mtu yeyote kwahiyo hata asipotajwa ni sawa tu hata hao waliotwajwa hawajajenga kwa hela zao pia
 
Anafuata upepo wa siasa unakoelekea, ina maana alishindwa kupata clip za magufuli akizungumzia ujenzi wa ikulu ya dodoma? Anyway anafuata siasa za aliyemteua
 
Kwani kulikuwa na ulazima wa ku rush kuhamia Dom?

Nakuhakikishia Mwendazake angekuwa Rais miradi Mingi aliyoanzisha ingechukua mda mrefu Kukamilika Kwa sababu hakuwa na pesa na alikuwa anasimgizia mabeberu Kwa economic slump..

Hiyo ndio sababu alisimamisha mambo mengi kwenye uchumi na kusababisha economic hardships na mbaya zaidi investors walimkimbia..

Samia is doing all that without visingizio,anaajiri,amelipa waliofukuzwa na Mwendazake Kwa visingizio vya vyeti fake,amelipa Madeni ya Vyama vya siasa,amelipa Wakandarasi,anaendelea na ujenzi wa mamiradi yaliyokuwa mbioni kumshinda Mwendazake ikiwemo Sgr na bwawa la umeme,ametoa pesa NHC Sasa wamefufua miradi yote ilivyokuwa imekwama enzi za Mwendazake nk nk

Mwendazake alikosa miradi akawa anazindua Hadi Vituo vya Afya,Leo Samia akitaka azunguke kuzindua miradi hata wesa maana Kuna utitiri wa miradi sekta zoooote unazozijua wewe..

Jiwe alikuwa anaficha udhaifu Kwa kuchagua vimiradi Fulani ambavyo anapiga propaganda hatari ,saizi angekuwa ameshazindua ujenzi wa Dom Stadium na visingizio vingi Kwa mabeberu.
 
Tatizo ni njaa,njaa mbaya sana waweza kuka kila kitu kinachomuhusu kuku.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi kwa ulimwengu wa sasa hivi utaficha kitu gani miongoni mwa raia?

Mbona wanapata tabu sana?
 
Punguza uharo. Watanzania wanataka kuona historia na si unafiki wenu huo.

Ivi kwa akili yako iliyoko matakoni utamwambia mwao kuwa Rais Samia ndiye aliyejenga Ikulu ya Dodoma?
 
Ingeshamshinda,wewe miaka 2 bwawa linajengwa Kwa only 30%?
Mtu alishindwa kujenga madarasa ya Watoto hiyo miradi ingekamilika 2040 😁😁

Mwakani SSH anawasha kitufe kuzalisha umeme wa kwanza kabisa.
 
Ukweli maushungi ameshindwa hizi 96t si amefawiwa mafisadi ni a 50% ndo umeenda kwenye hizo project .maushungi ni failed presdent ever happened
 
Ukweli maushungi ameshindwa hizi 96t si amefawiwa mafisadi ni a 50% ndo umeenda kwenye hizo project .maushungi ni failed presdent ever happened
Mjinga hata huelewi unachoongea..

Jiwe alishindwa hata kumalizia jengo la nssf posta vipi saiizi si unaona mjini kumechangamka?

Kazi nzuri ya SSH,kula vyuma vya NHC Chamwino Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…