Dunia nzima inajua lile shetani lenu lilikufa kifo cha aibu. Wazazi wangu hawawezi kufa kifo cha kizembe namna ile ht kama umri umeenda.
Watakufa midomo wazi
 
๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Haukupa mshahara wala madaraja lakini alizuia mifumuko ya bei mchele ulikuwa 1600 lakini sasa 4000 kupanda mshahara huku vitu vinapanda bei ni sawa nakujaza maji kwenye ndoo inayovujaa halafu Magufuli hakumsema mtu aliwatesa wavivu wenye kupiga midomo kwenye siasa kuliko kufanya kazi
 
Nafikiri hatupishani Sana mkuu jpm alifanya kazi kubwa Sana katika hili sikatai na anastahiri heshima yake kwa nafasi yake juu ya kazi yake

Kitu ambacho Mimi napingana nacho nipale ambapo unakuta mtu anatumia nguvu kubwa kuhakikisha mtawara aliyepo madarakani Sasa hivi anaonekana hakuna anacho kifanya Yani hastahiri kuwa pale

Wakati huo huo mtawara huyo anajitahidi kufanya kazi kwa bidii kuhakikisha Yale yaliyo kuwa ya meanzishwa na mtangulizi wake yanakamilishwa lakini hata Yale aliyo yaanzisha yeye Yana kamilika bila kuya athili Yale ya mtangulizi wake

Sasa Samia anapo kamilisha lengo la magufuri kwa inchi unakuta mtu kapost humu mfano..

HATIMAYE UJENZI WA DARAJA LA JPM MSOMA WA KAMILIKA JPM ALIKUWA RAISI KWELI KWELI"

kwa mtazamo wangu ilipaswa iandikwe hivi HATIMAYE UJENZI WA DARAJA LA JPM MSOMA WA KAMILISHWA NA SSH,SAMIA ANASTAHILI PONGEZI KWA KUIMALIZIA MIRADI ILIYO KUWA IMEANZISHWA NA JPM

kwa mtazamo wangu kufanya hivi kutampa motisha SSH ya kufanya kazi kwa bidii lakini pia hakuto athili heshima ya JPM kwa taifa lake

Sasa Jambo ambalo naliona ni lakitoto na Galina maana nipale ambapo baadhi ya watu wanampa sifa JPM huku nyuma wanamsahau yule anaye simamia Yale yaliyo anzishwa na jpm Sasa huu sio uungwana mkuu๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Bora lilivyokufilia mbali likateseke na lenyewe huko.
 
Hekima ni muhimu,hasa km mlikuwa mnafanya kazi pamoja.
 
Na kwanini hawakulitaja Ili maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ